mimi_wewe
Member
- Jul 27, 2014
- 70
- 17
Asee baada ya ITV,KISS KE,ZUKU ACTION na zingine nyingi kama ZUKU SWAHILI kugoma kukamata kwenye kifurushi cha kwanza(13000) nikajaribu kuwa tafuta kwa simu bila mafanikio nikaamua kuamua kurestore setting kitu ambacho kilipelekea kufuta chaneli zote,nikaamua kuseach upya channel zimerudi channel za nje tu,tena na zenyewe ni chache.
NAOMBENI MSAADA WENU KWA MWENYE UELEWA AU MWENYE NAMBA ZAO.ZINAZOPATIKANA.
NAOMBENI MSAADA WENU KWA MWENYE UELEWA AU MWENYE NAMBA ZAO.ZINAZOPATIKANA.