Nikununulie mrembo?kwakweli, ntakinunua Kwa hali ilipofikia
hawafai kwakweli, startimes ni sh ngap sasaivi
Nikununulie mrembo?
Yaani zuku ni sheeedaaa! Wingo kidogo tu inastaki,pole sana mkuu. Ving'amuzi vyenye stress tanzania ni Zuku, continental na Ting, ukishanunua kimojawapo kati ya hivyo basi hakikisha kichwa chako kina uwezo wa kuhimili stress zao
DSTV ndio baba yao.morning,
Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,
nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
Star times. No way. Too pro CCM.Karibu Startimes hutajuta kamwe.
Kwa tatizo ilo Kwa zuku nitawasingizia Hakuna, ila tu wapo ovyo, yaan ukilipia efu kumi ikiisha kifurushi chako uhoni channel yoyte ya free ,kibaya zaidi channels za ni TBC na WASAFI TV tu, mavipindi yao kwenye machannel mengine yanajirudia rudia, kama ile channel ya NATIONAL GEOGRAPHYIC ya wanyama na zinginezo, kiufupi ni ovyo, taarifa ya habari sasaivi ndo uwezi sikia, maana ITV haipo, TBC ni habari za kumuhusu mwenyekiti wa ccm mwanzo mwishoYaani zuku ni sheeedaaa! Wingo kidogo tu inastaki,
Utamuuzia nani hakiuziki. Zuku ni majanga nafikiria kukigawa bure niondoe keromorning,
Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,
nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
Acha sisi tukomae na startimes.DSTV ndio baba yao.