M mart89 Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 112 Reaction score 46 Jun 23, 2016 #1 Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana
Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana
martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Jun 23, 2016 #2 Ngoja waje wajuzi wa ufundi huo
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 23, 2016 #3 mart89 said: Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana Click to expand... nunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB.
mart89 said: Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana Click to expand... nunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB.
M mart89 Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 112 Reaction score 46 Jun 24, 2016 Thread starter #4 ymollel said: nunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB. View attachment 359476 Click to expand... Sh ngapi inauzwa kaka
ymollel said: nunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB. View attachment 359476 Click to expand... Sh ngapi inauzwa kaka
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Jun 24, 2016 #5 mart89 said: Sh ngapi inauzwa kaka Click to expand... haitazidi 60000/- pia inategemea na duka unaweza kuipata kuanzia 35000/- . Nunua ya litewave au mecury au phillips epro
mart89 said: Sh ngapi inauzwa kaka Click to expand... haitazidi 60000/- pia inategemea na duka unaweza kuipata kuanzia 35000/- . Nunua ya litewave au mecury au phillips epro
mrisho708 Member Joined Jun 23, 2016 Posts 13 Reaction score 1 Nov 3, 2016 #6 mart89 said: Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana Click to expand... Habari zenu wadau naomba maelekezo jinsi ya kupata africa tv swahili kwenye zuku naomba mwenye kujua anipe maelekezo pleace
mart89 said: Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana Click to expand... Habari zenu wadau naomba maelekezo jinsi ya kupata africa tv swahili kwenye zuku naomba mwenye kujua anipe maelekezo pleace