Zuku dish for sale

Hata mimi karibu nitauza,nimelipia mwezi mzima lakini wakati wote hakuna channel ,channel zinapotelea mapangoni,pia nimechoka kuwaita magfundi kuja kurekebisha,Zuku ni kama Tanesco,pia vipindi vyao ni kama ''marudio baada ya taarifa''ya enzi za RTD yaani kila siku ndiyo ya jana,vipindi vinajirudia rudia vile vile kwa mwezi mzima sasa sioni faida ya kukaa na kuangalia kwani shamaliza kuangalia,itabidi nirudi Startimes,ama kweli usiwatukane mamba ungali hujavuka mto
 
mambo mkuu
kama bado unalo ilo Zuku niuzie mimi
ni sms tufanye biashara napia nata la TING satellite
0715809980
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom