Zuhura Yunus wetu amuhoji Rais Museveni

museveni hawezi akaongea kitu nikamkubali hata kidogo
yaani mtu anayetawala miaka 35 atakuashawishi na nini umuamini kua ni mtenda haki?? angalia na uchumi wa Uganda ulivyo

Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!
 
M7 was under critical condition the only way or means to gain success was only violation of opposition right
 
Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!
Museveni -Lowassa. Kweli mmedhamiria
 
museveni hawezi akaongea kitu nikamkubali hata kidogo
yaani mtu anayetawala miaka 35 atakuashawishi na nini umuamini kua ni mtenda haki?? angalia na uchumi wa Uganda ulivyo
Kwani mtu kuwa madarakani muda mrefu ni kigezo cha kumuondoa? Acheni mawazo ya kushikiwa akili na wazungu, kila wasemalo nyie vibaraka mnabeba tu,ona walibya walivyodanganywa.
 
Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!
Wewe mbona Umekariri kuwa Lowasa ni Fisadi wakati Richmond ni ya Kikwete sasa na wewe mbona unaamini ulicholishwa na Membe mpaka umesahau kuwa Escrow, NIDA na wizi mwingine si Ufisadi bali ni haki yao.
 
Kwani mtu kuwa madarakani muda mrefu ni kigezo cha kumuondoa? Acheni mawazo ya kushikiwa akili na wazungu, kila wasemalo nyie vibaraka mnabeba tu,ona walibya walivyodanganywa.
Kilichokuwepo Uganga hakina uhusiano na wazungu na hakifanani na Libya kabsa, Uganda kuna Udikteta wa kutisha wapinzani wananyanyaswa sana hakuna haki za binadamu.
 
Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!
unajipendekeza hili wakujue kuwa huko kwenye 46 lumumba group njaa mbaya sana.

swissme
 
Museveni aelezea sababu za Besigye kukamatwa na mengine mengi!

Huyu dada namkumbuka jinsi alivyokuwa mwiba mkali kwa yule mgombea" mashuhuri" huku Tz mpaka akapata vigugumizi na kudai anamuonea.
 
Wana lumumba sasa wana jidhirisha waz kua ni wanao sapoti udikteta na ukandamizaji wa haki na utawala wa sheria. Ila laana ya udhalimu huangamiza wote na wafuasi wake
 
museveni hawezi akaongea kitu nikamkubali hata kidogo
yaani mtu anayetawala miaka 35 atakuashawishi na nini umuamini kua ni mtenda haki?? angalia na uchumi wa Uganda ulivyo
KIUKWELI HUYU ANABOA
 
Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!
Kwa kumuamini Lowassa ni kurukwa na Akili
 
Kwani na yeye anahitaji umuamini? Wewe umuamini au usimuamini huwo ni uamuzi wako, kama vile ulivyo uamuzi wako kumuamini fisadi papa Lowasa, cha muhimu Waganda wanamuamini!

Una matatizo makubwa sana ndugu kwa sbb una maradhi yanayitwa "lowassaphobia" maana huyu jamaa kaiganda kweli kweli akili yako to the extent kwamba anakuhemea hadi kwenye ndoto zako!!

Mtu kama hana maana kwako, achana naye na mtoe kwenye kamusi ya kichwa chako. Lakini inavyoelekea Lowassa ni kama vile ziwa la kunyonya la mama na mtoto kwako!
 
Kwani mtu kuwa madarakani muda mrefu ni kigezo cha kumuondoa? Acheni mawazo ya kushikiwa akili na wazungu, kila wasemalo nyie vibaraka mnabeba tu,ona walibya walivyodanganywa.
Nadhani Iran siyo wazungu, lakini kutawala mfululizo mwisho ni vipindi viwili tu unatakiwa utoke kwanza halafu ndio urudi tena, ukiniambia Putin anapendwa na warussia nitakubaliana na wewe maana aliheshimu katiba akakaa pembeni tena akiwa waziri mkuu then akarudi tena kuwa Rais,

Tatizo la waafrika shida yao ni power na siyo uongozi, ingekuwa shida yao ni kuongoza watu wao Dr Shein angekubali kushindwa uchaguzi na angekuwa chini ya Maalim Seif kama makamu Wa Rais, wala yeye asingekuwa Wa kwanza kufanya hivyo, lakini washauri wenyewe ndio watu wenye akili ndogo kama zako basi ni msiba huu.
 
Back
Top Bottom