Mawazo ya kipumbavu kabisa. Kushabikia mambo ya usanii usanii na ''kiswahili murefu'' badala ya utendaji.Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Utendaji wa konyoMawazo ya kipumbavu kabisa. Kushabikia mambo ya usanii usanii na ''kiswahili murefu'' badala ya utendaji.
Labda aliVuJisha issue ya Korea kupewa bahari na madiniWakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kashushwa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Mtoa mada hajui hili ...Kitu hukijui nyamaza usijidhalilishe bure,Kapanda cheo mara dufu unasema kashushwa!!
Acha kupotosha! Amepanda kicheo na kiulaji.kicheo amepanda sana ,lakini ki exposure na kiulaji ameshuka
Povu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?Kuwa Naibu Katibu Mkuu ni kushushwa cheo. Wengine muwe mnasubiri maelezo ya wanaelewa mambo. Itawasaidia kuficha upumbavu