habari,
Kuna mtu ambae anaweza kunifahamisha jinsi ya kupata vitabu online kwa kutumia hii application (zotero)?? Au kama naweza kupata websites ambazo naweza kudownload free books
Msaada tafadhali

Sina hakika umepata wapi maelezo kuwa zotero ni application ya kudownload vitabu, hii ni program kwa ajili ya kutengeneza Bibliography ya reference. Inasaidia kutengeneza reference list wakati kuandika paper/arcticle. Vitabu unaweza ukadownload pia hapa FileCrop - Search and Download Rapidshare Mediafire and Hotfile Files search aina ya kitabu unachotaka kisha download