Zoom Tanzania na matangazo ya kazi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,098
8,727
SALAM wandugu!

jamani ninomba kujuzwa ni nani ambae alishawai kupata kazi baada ya kuomba kupitia zoom tazania?

pili mimi nmepoteza creidt angu nyingi kuapply kazi ninazoona ninaendana nazo ndani ya mwaka mmoja na nusu, sijawai kuitwa wara kufanyiwa lolote, nomb kujua ofisi zao zilipo hapa mjini nikadai haiwezekani nipoteze, laki 900,000. tangu nimeanza kuomba mpka leo na hakuna mafanikio staki huu ni wizi nielekezeni bandugu nikawavae.
 
Ukiwa mjanja kungewa ni sili ya ndani. Hivyo tulia tu hiyo walishalamba Poleeeeeee.
 
SALAM wandugu!

jamani ninomba kujuzwa ni nani ambae alishawai kupata kazi baada ya kuomba kupitia zoom tazania?

pili mimi nmepoteza creidt angu nyingi kuapply kazi ninazoona ninaendana nazo ndani ya mwaka mmoja na nusu, sijawai kuitwa wara kufanyiwa lolote, nomb kujua ofisi zao zilipo hapa mjini nikadai haiwezekani nipoteze, laki 900,000. tangu nimeanza kuomba mpka leo na hakuna mafanikio staki huu ni wizi nielekezeni bandugu nikawavae.

Kipindi nimemaliza chuo kipindi hicho niliapply kwa hawa jamaa lakini sikuambulia chochote. nikafight kidume mpaka nikapata kazi kivyanguvyangu. After two year nipo kazini wakanipigia eti kuna kazi imepatekana ya mshahara mnono kuwailiza Tsh ngapi duuu nilichoka below 800,000/= gross. Nikawambia kama mkipata kazi ya less than 3,500,000/= take home msijisumbue kunitafuta tena.
 
Back
Top Bottom