Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Safi sana, malipo ni hapa hapa duniani!Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa. Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta. Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.
Haaaaaa haaaaa! Siku hizi Jambazi la Monduli lenye nywele kama manyoya ya kondoo linatetewa sana humu JF kiaina!Hivyo ndivyo alivyo Sitta. Mlimshangilia sana alipokuwa akihangaika na Lowassa.
kawatumbukiza mamluki humu ndani si mchezo,na Lowasa alivyo na akili inayofanana na hayo manywele yake maupe km ya kondoo,anaimani tosha kuwa yeye ndo rais 2015.Haaaaaa haaaaa! Siku hizi Jambazi la Monduli lenye nywele kama manyoya ya kondoo linatetewa sana humu JF kiaina!
ccm ni chukuwa chako mapema 6 kwatama hakutosheka naalicho chukuwa akaanzisha ccj chama cha jambazi hiki kingekuwa kibaya zaidi kuliko ccm aibu 6 unajidhalilisha unajivuwa nguo hadhalani umezeekea ccm unaijua az ataukijipendekeza ni wataramu wa kutumia utatumiwa utatupwa kama tishu ulijijengea heshima tukakuona kama mpambanaji mtetea wanyonge kumbe ni munyongaji mgeukie muumba wako ukatubuUnajua kirefu cha CCM ni Chama cha mafisadi, matapeli na kwa upande wa CCJ ni chama cha jambazi 6. Huo ndio ukweli. Aibu gani hiiiíi 6 unafanana na jina lako 6 sita?
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa.
Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin Shigella, Katibu mkuu wa UVCCM kuja kusalimia na kisha Samuel Sitta.
Alipoinuka tu Mh. Sitta meza moja ya vijana ikaanza kumshangilia kwa kuimba CCJ, CCJ, CCJ na kudakiwa na meza nyingine kitendo kilichomfanya Mh. Sitta asite kwanza kusema lolote mpaka hali ilipotulia, kwa aibu akatoa nasaha zake chache za kizamani na kurudi kukaa akijichekeshachekesha kwa Aibu.
Hivi ww umetumwa na manywele humu Jamvin? fikiria unalosema kama linasound machoni kwa watu,wewe haujui Lowassa alifanya uhuni gani juu ya Richmond,huo ni uhuni sasaHivyo ndivyo alivyo Sitta. Mlimshangilia sana alipokuwa akihangaika na Lowassa.