Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
huyu jamaa akikupa soga za muziki, halafu ukute umetulia, unajisikia kama upo miaka hiyooooo!!!Masoud Masoud yupo vizuri sana lakini Zomboko ni habari nyingine kabisa jamaa ana data za kufa mtu ukisikiliza kipindi cha hauchoki.
Mida hii imetokea nasikiliza kipindi cha Hizi Nazo ya Redio One Stereo.
Huyu mchambuzi Rajabu Zomboko ana data za kutosha kuhusu muziki, hasa zamani.
Nasikiliza anamuelezea jabali la muziki marehemu Majirani Rajabu. Kama sikosei ni baba'ake Rajabu Marijani.
Hivi kuna wataalam wengine kama huyu? Labda Masoud Masoud.
Yupo jamaa mmoja anaitwa Maestro Mosha, huyu ni kiboko ile mbaya....huwa anatoaga somo kupitia Pride FM ya MT (Mtwara). Huyu ndiyo baba lao.