falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,291
Ua NIT, hamishia VETA chang'ombe fungua Aviation College, tuache ubabaishaji, siku zijazo tutakuwa hatuna marubani wala mafundi maana kwa miaka kibao hatuzalishi marubani hapa kwetu ila tunazalisha mafundi wasiozidi watano kila mwaka. Gharama yake tu ni hatari.
Hongera kenya airways. Japokuwa taifa la Kenya lina challenge kubwa ya usalama na uhaba wa rasilimali, lakini bado hiyo haiwezi kuwa sababu ya kuwa nyuma.
Tanzania nchi ya amani na rasilimali zote lakini tumebakiza kidege kimoja, eti naskia hata mlandizi hakifiki.