Ziwani kuna Mambo

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nimejikuta nacheka japo picha haichekeshi
 
Samahani Mkuu mbona naona kama vile kwa hapo chini huyo Mtoto wa Kike kaushika kimtindo Mkuyenge wa Mshua hapo?
Hahaha mkuu mambo ya Beach hayo... Sasa huu moto wa Kanda ya Ziwa
 
Huyo ni mkurya
sina hakika kama wakurya wana tabia ya kuongozana na watoto wao wakike kwa maeneo kama hayo au kwenda tu beach si rahisi mkurya kumkuta aisee!!
 
sina hakika kama wakurya wana tabia ya kuongozana na watoto wao wakike kwa maeneo kama hayo au kwenda tu beach si rahisi mkurya kumkuta aisee!!
Wewe wakurya wapyaa kizazi kipya
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nimejikuta nacheka japo picha haichekeshi
wangekuwa ngozi nyeupe naamini usingecheka japokuwa picha ingechekesha
 
Huyo ni mkurya
We, unajua misimamo ya koo/mila za Kikurya kweli !!??. Baba akionekana hivyo na watoto wa kike ajiandae kwa pombe ya kienyeji na dume la ng'ombe (Maksai) kwa ajili ya kuchinja ili kuwaomba msamaha watu waloenda jandoni mwaka mmoja. Vinginevyo atatengwa na rika na ukoo wake.
 
Wewe wakurya wapyaa kizazi kipya
unawaonea tu kiongozi labda kama kuna shida nyingine lakini mkurya umkute beach au kaongozana na wanae kwenda huko!! mmmhhh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…