Zitto, Waitara walilia fedha za Bunge serikalini

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT –Wazalendo), Zitto Kabwe amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, taasisi za uwajibikaji ikiwamo Bunge zinashindwa kufanya kazi kutokana na kutopewa fedha za kutosha.

“Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amenyimwa fedha. Hii inaonyesha kuwa Serikali haina dhamira ya kweli ya kuwezesha Bunge kufanya kazi yake kinyume kabisa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati akifungua Bunge Novembea 2015,” amesema Zitto ambaye ni kiongozi wa chama hicho.

Zitto alikuwa akizungumzia taarifa kwamba, chombo hicho cha kutunga sheria kimekumbwa na ukata, kiasi kwamba kina fedha za muda mfupi ujao.

Mbuge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara ameunga mkono kauli ya mbunge wa Mtwara vijijini, Hawa Ghasia akisema shughuli za Bunge zimedorora.

“Ni kweli kama alivyosema Ghasia kuwa Serikali imeshindwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa wizara mbalimbali. Hata kwenye Bunge imeathiri utendaji,” amesema Waitara.

“Kwa mfano katika kamati wabunge wanakwenda kwenye ziara, lakini hawalipwi posho. Wabunge wanakwenda kwenye ziara hawalipwi posho, mwisho kazi zinashindikana kufanyika.

‘Kamati za Bunge zilitakiwa kukaa kwa wiki tatu, lakini zimeishia kukaa wiki
a. Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT –Wazalendo), Zitto Kabwe amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, taasisi za uwajibikaji ikiwamo Bunge zinashindwa kufanya kazi kutokana na kutopewa fedha za kutosha.

“Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amenyimwa fedha. Hii inaonyesha kuwa Serikali haina dhamira ya kweli ya kuwezesha Bunge kufanya kazi yake kinyume kabisa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati akifungua Bunge Novembea 2015,” amesema Zitto ambaye ni kiongozi wa chama hicho.

Zitto alikuwa akizungumzia taarifa kwamba, chombo hicho cha kutunga sheria kimekumbwa na ukata, kiasi kwamba kina fedha za muda mfupi ujao.

Mbuge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara ameunga mkono kauli ya mbunge wa Mtwara vijijini, Hawa Ghasia akisema shughuli za Bunge zimedorora.

“Ni kweli kama alivyosema Ghasia kuwa Serikali imeshindwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa wizara mbalimbali. Hata kwenye Bunge imeathiri utendaji,” amesema Waitara.

“Kwa mfano katika kamati wabunge wanakwenda kwenye ziara, lakini hawalipwi posho. Wabunge wanakwenda kwenye ziara hawalipwi posho, mwisho kazi zinashindikana kufanyika.

‘Kamati za Bunge zilitakiwa kukaa kwa wiki tatu, lakini zimeishia kukaa wiki moja kwa sababu ya ukata. Wabunge wanashinda mchana kutwa bila kula. Tumemuuliza Spika akasema hakuna hela.”

Juzi, Ghasia ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, alisema wakati ikiwasilisha maoni kuhusu bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kuwa kumeonekana changamoto kubwa ya Bunge kupewa fedha kwa wakati na hivyo kuathiri utekelezaji wa baadhi ya
moja kwa sababu ya ukata. Wabunge wanashinda mchana kutwa bila kula. Tumemuuliza Spika akasema hakuna hela.”

Juzi, Ghasia ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, alisema wakati ikiwasilisha maoni kuhusu bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kuwa kumeonekana changamoto kubwa ya Bunge kupewa fedha kwa wakati na hivyo kuathiri utekelezaji wa baadhi ya majukumu.

Chanzo:Mwananchi

Habari hii ni tofauti na ile iliyotolewa na Katibu wa Bunge juu ya uwezekano wa kukwama kwa vikao vya Bunge kutokana na serikali kutopeleka fedha.

November 2 mwaka jana nili-post uzi hapa JF nikiwaambia waheshimiwa hawa ndani ya miezi 6 ijayo hata wao ukata utawakumba.
.
Hali bado haijawa ngumu, tunakokwenda ni huku

Vijana wa Lumumba milionibeza mjifunze kuwa na akiba ya maneno.
 
Bunge lenyewe la akina kibajaji lina faida gani hasa...kama wAlienda bungeni kuchuma mali imekula kwao...
 
Haya sasa wale wanaojitoa ufahamu wa kuunga chochote mkono na waje cc . Lizaboni, Motochini, Mwasita, Laki si pesa, Rutashobolwa etc .
 
It seems that there is something wrong somewhere... CAG na bunge ndo vyombo vinavyoweza kutuonesha uelekeo wa nchi ila vinaminywa
 
“Kwa mfano katika kamati wabunge wanakwenda kwenye ziara, lakini hawalipwi posho. Wabunge wanakwenda kwenye ziara hawalipwi posho, mwisho kazi zinashindikanakufanyika.

‘Kamati za Bunge zilitakiwa kukaakwa wiki tatu, lakini zimeishia kukaawiki moja kwa sababu ya ukata.Wabunge wanashinda mchana kutwabila kula. Tumemuuliza Spika akasema hakuna hela.”

Kiini cha cha tatizo ni hicho hapo, matumbo ya wabunge wetu! Pumbavu zenu kabisa, kumbe kilio chenu per diem tu, mnataka semina ya siku 3 ifanyike wiki mbili!
JPM mulika hao, 2020 tunataka wagombea ubunge wenye nia ya dhati ya kuwatetea wananchi sio hawa walanguzi.
 
Na wao waone cha moto siyo sisi tu wa hali ya chini tunaona cha moto kila siku pumbavu zao..
 
Pumbavuu zao kabisaa walienda Bungeni kukimbilia posho , badala ya kutumikia wananchi. Sasa hakuna tena mambo ya kuchuma mali.
 
No wonder walimlilia JK

Sittinga allowance ziote mbawa.
Magu..... endelea kubana hivyo hivyo mpaka wanyooke,, walijikoroga wenyewe sisi hatumo kabisaaa!! Maana hata kwenda kuchukua fomu ulienda mwenyewe hukushauriwa na mtu, wewe hupangiwi mambo ni Rais unayejiaminiiiiii bana hivyo hivyo!
 
Wabunge walifunge tu wanalilia posho wakati hospital hamna dawa barabara mbovu watumishi hawajalipwa sitahiki zao ajira hamna wakulima wana nunua pembejeo bei juu

Wao wanalalamikia posho
 
Back
Top Bottom