Fikiri kwa makini wataachaje kupata hizo nafasi wakati CCM ndio chama tawala?! Hizo nafasi zingekuwa zinafanyiwa usaili nakuhakikishia hakuna hata mmoja kati ya hao ulio wataja wangepata hizo nafasi kwa CV gani hasa? Nafasi ya kupewa zawadi unaona ni ujuzi au akili? Kweli elimu ya kufikiri pia mpaka msaada wa MCC?! hovyo kweli.Nafikiri la matamko iambie Bavicha...UVCCM waulize mwaka huu wamesaidia vijana wangapi masikini uapate Data.
Uvccm ndio imetoa kijana anaongoza mkoa wa Dsm Mr Makonda
Mkuu wa mkoa wa Tanga ,Simiyu,Mwanza,
Waziri wa habari
Naibu waziri Mavunde vijana
Uvccm sasa inawabungr zaidi ya kumi si taasisi yakitoto.
Nawaunga mkono kina asenga
Kipimo ni kutimiza wajibu wao.wanatimiza? Basi.MANENO YA MKOSAJI DA.DA.Fikiri kwa makini wataachaje kupata hizo nafasi wakati ccm ndio chama tawala?! Hizo nafasi zingekuwa zinafanyiwa usaili nakuhakikishia hakuna hata mmoja kati ya hao ulio wataja wangepata hizo nafasi kwa cv gani hasa? Nafasi ya kupewa zawadi unaona ni ujuzi au akili? Kweli elimu ya kufikiri pia mpaka msaada wa mcc?! hovyo kweli.
Kukusaidia tu makamanda si viongozi wa jumuiya wala wasemaji wa jumuiya.unataka wamuache kibaraka wa nywele nyeusi ili iweje.ata wa mkoa akiwa jipu atatumbuka tu.eti wa mkoa kasema yeye ndie kikao ama mwenyekiti wa mkoa?isome kanuni yao UVCCM ueleweUVCCM ni mamburula hawajitambui wala hawajui wako kwenye chama kufanya nini, rejea sakata la juzi UVCCM Arusha, kamanda wa mkoa amemtimua kada maarufu mlezi wa vijana Mathias Manga kuwa ni msaliti na ametangaza kwenye vyombo vya habari, kamanda wa UVCCM Arumeru amekanusha kutimuliwa kwa Mathias na kumuita kamanda wa mkoa mpuuzi na amekurupuka wao wanamtambua Mathias, ila hawamtambui kamanda wao wa mkoa na kutaka chama kimfukuze yeye..sasa hawa wanaofanya mambo kama chekechea zitto anaweza hata kuwafikiria mara mbili? Wampe kiwewe cha nini? labda kuwaokoa kama watapata ajali anaweza pata kiwewe kwa kuona binadamu wana majanga ila si UVCCM?!
Wajibu wanatimiza sana kwenye nafasi zao, maneno ya mkosaji ni usemi wa mtu alieishiwa hoja..Kipimo ni kutimiza wajibu wao.wanatimiza? Basi.MANENO YA MKOSAJI DA.DA.
katapeliwa Mbowe amtoe Yule mzee wa nje amuweke nywele nyeusi atashinda Urais seuze wajinga wanaonunua ardh kama shati.nenda na wewe kanunue.Lukuvi kiboko
Hawajitambui, wangekuwa wanajua kuna KANUNI wasingetoka hadharani viongozi wa juu na kauli kinzani, hapo upo?! Au ukisikia kanuni unajua zinabaki kwenye makaratasi tu?!Kukusaidia tu makamanda si viongozi wa jumuiya wala wasemaji wa jumuiya.unataka wamuache kibaraka wa nywele nyeusi ili iweje.ata wa mkoa akiwa jipu atatumbuka tu.eti wa mkoa kasema yeye ndie kikao ama Mkt wa mkoa?isome kanuni yao uvccm uelewe
Mkuu taaluma ya uandishi ataijulia wapi huyu kanjanja, taaluma waliyofaulu UVCCM ni kulamba viatu vya watawala tu.Ukuu wa Wilaya utakutoa nyongo safari hii.Hivi si una ile ID ya jina lako huku?Ile ingekufanya uwe noticed haraka na mamlaka ya Uteuzi
Halafu jifunze kuandika kiswahili vizuri.Taarifa ya taasisi inayoheshimika huwa haitolewi hivyo.Sio taarifa ya kutangaza tamasha la muziki wa Taarabu hiyo.
Nilizani utajibu Mbowe hajatapeliwa!! Msalimie Mnyika na Mwalimu waambie wasiwe na HasiraUkuu wa Wilaya utakutoa nyongo safari hii.Hivi si una ile ID ya jina lako huku?Ile ingekufanya uwe noticed haraka na mamlaka ya Uteuzi
Halafu jifunze kuandika kiswahili vizuri.Taarifa ya taasisi inayoheshimika huwa haitolewi hivyo.Sio taarifa ya kutangaza tamasha la muziki wa Taarabu hiyo.
Taaluma ya uandishi anaijua Mbowe.tehMkuu taaluma ya uandishi ataijulia wapi huyu kanjanja, taaluma waliyofaulu uvccm ni kulamba viatu vya watawala tu.
Zitto ni kijana mzuri hawezi kutukanwa kama ambavyo Nassar yupo sasauvccm walipewa pesa na waziri hili kumtukana zito ni kweli kabisa maana jamaa yangu wa vccm alinieleza kabla ya hilo tukio 100% its true
swissme
Ukiwa na akili utajiunga na maneno ya Msigwa"ukiona mtu yeyote anaongozwa ama anamuunga mkono Lowassa basi mtu huyi akapimwe akili..."UVCCM ni wachawi Vijana, wakizeeeka watakua Vigagula.....take my word, huwezi kuwa na akili ukajiunga na UVCCM. Utakua kama Dr Nanihii aliesema Nimekosa mimi nimekosa sana.....hahahahahaahha
Kuutangaza ujinga wako hadharani si UMAARUFU, Mbowe kaingiaje hapa?!Taaluma ya uandishi anaijua Mbowe.teh
Mnamsahau mnapojifanya mnajua na kiongozi ZeroKuutangaza ujinga wako hadharani si UMAARUFU, Mbowe kaingiaje hapa?!
Nimekupuuza sana kwa kuwa una mawazo ya kipuuzi, Mbowe unaweza kumuita kiongozi zero?! chadema isingekuwa ya kuzungumzwa.Mnamsahau mnapojifanya mnajua na kiongozi Zero