Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,829
- 43,277
Wasalaam wa jamvi.
Bila shaka watanzania wote watunza kumbukumbu mtakuwa mnakumbuka fika kabla ya ujio wa ndege za Bombadia Mh Zitto alisema kabisa ana uhakika kuwa ndege zile ni mtumba na zinatatizo la kutua kwenye viwanja na zinatatizo la gear na ni chakavu sana na alisema ana vithibitisho.
Watu husema muda unaongea lakini cha kushangaza hadi leo Mh Zitto hakuwai kutuletea mrejesho juu ya madai hayo.....lakini alionekana amepanda hizo ndege huku akifurahia kabisa
Watanzania kwa usahaulifu wanashindwa kumuuliza kuwa vipi ndege alizotwambia ni mitumba na zinatatizo la kutua zimefikia wapi? alipozipanda wakati zinatua ilitokea nini?
Zitto ataendelea kuumbuka kwakuwa anapenda kutafuta umaarufu kwenye kila jambo...sasa na hizi zingine kaanza kuwadanganya ni muda tuu ataumbuka kama ilivyokuwa kwa bombadia....
Zitto ni mwanasiasa mnafiki wa hali ya juu.
Wasalaam
Hapa Zitto aliingizwa chaka
hapa chini zitto ameumbuka sasa