young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 710
Haitofautiani sana na ile dhana ya kofia mbili kule ccm
Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Zuberi Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa ACT wazalendo amesema kwamba wameamua kumuweka pembeni mwenyekiti wao wa zamani Mama Anna Mghirwa ili kutoa dhana kwamba ACT ni CCM B.
"Sasa tunaweka kanuni ambazo mtu akichaguliwa na uongozi wa juu unaoongozwa na Chama kingine tofauti na ACT basi tufanye kwanza mazungumzo kabla ya mtu kukubali tu bila kutoa taarifa" alisema Mh Zitto Kabwe.
Pia akaongeza kwa kusema kwamba kwa sasa wameshachagua kaimu mwenyekiti wao wa Chama na anaendelea na majukumu kama kawaida.
MjaneHivi huyu mama "Ana" ameolewa/anamume!
Asante mkuu, Ila bado analipaMjane
Lissu alishajibu hilo swali kwamba haitotokea kamwe na kama itatokea ni kwa masharti ya mabadiliko ya katibaVp na lissu akipewa una maana hatokataa!!!
Marekani Vipo vyama zaidi ya viwili mkuu..Na katiba yao haijaweka ukomo Wa vyama ila uimara Wa hivyo viwili ndo unafanya vipokezane vijitibora katiba ibadirishwe viwepo vyama viwili tu kama marekani kama tukienderea kuwa hivi tuta subiri sana na ccm kuondoka madarakani itabaki stori tu vikiwepo vyama viwili maendereo yatakuja haraka
Yap na kweli kabsa kla mtu atataka cheoZitto asipoangalia atakiingiza kwenye mgogoro chama chake kama ule wa Lipumba na cuf
Vpo vngi lakn viwili ndo tishioMarekani Vipo vyama zaidi ya viwili mkuu..Na katiba yao haijaweka ukomo Wa vyama ila uimara Wa hivyo viwili ndo unafanya vipokezane vijiti
Tuitangaze tu rasmi kwamba hii ni nchi ya wanafiki au unasemaje msnajo?
Unafiki unaigharimu sana nchi hii. Unafiki top bottom, bottom up.
Iko siku Mungu ataleta hukumu kali kwa nchi hii zaidi ya hii ya "kutumbuliwa" na "kulia lia tunaibiwa" wakati ni "Viongozi" wetu ndio walisaini hati(mikataba) za kuridhia tuibiwe.
Yaani maelezo yote aliyotoa still unamlaumu!!?ndio maana me na chadema yangu tu.maana kipindi zito anaenguliwa M4C. watu walimlaumu mbowe kumbe zito ccm b.leo imeonekana na ninavyojua ubunge atakosa safari hii