sniper05
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 101
- 49
Nitamnukuu kama alivoandika katika ukurasa wake wa "Facebook" ......
"... Hata Nyerere hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake mfukoni. Alipomteua Chief Adam Sapi Mkwawa kuwa Waziri alifanyiwa rebellion na wabunge ( wakati wa chama kimoja) akamrudisha mpaka alipostaafu tena kwa kumtungia sheria ya ustaafu ( wakati wa Mwinyi) .
Unapoona Rais anajaribu ku impose Kiongozi wa Bunge anayemtaka mjue huko mbele Bunge litafanywa kibogoyo. Kwa mfano, hakuna Naibu Spika yeyote katika nchi hii ambaye hakuwahi kuwa Mbunge wa Jimbo. Nawakumbusha tu kwamba; Bunge huendeshwa kwa kutumia Katiba, Sheria, Kanuni na DESTURI au maamuzi yaliyokwishafanywa. Underline DESTURI" ..
Mwisho wa kumnukuu Mh Zitto, vipi maoni yenu?