Zitto: Nilitonywa kuna mpango wa watu saba kutekwa wakiwamo Mimi na mawaziri watatu...

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,844
43,317
Wasalaam wana jamvi:
Kama muelewavyo story za kuteka na kutaka kutekwa zimepamba moto na kila mtu hasa wabunge wanasema wanataka kutekwa.

Leo kwenye kipindi cha DW alitafutwa mbunge Zitto kuzungumzia hili swala kwanza aliulizwa kama ana taarifa ya bashe kusema kuna wabunge 11 wanatafutwa kutekwa akasema hana taarifa kamili na ni vigumu yeye kulielezea na alisema kuwa yeye binafsi alitonywa kuwa kuna watu saba nje ya bunge, wabunge na mawaziri watatu wanapangwa kutekwa....

Lakini Zitto aliulizwa una uhakika gani na vyanzo vyako kama havikudanganyi? alisema yeye ametonywa na ana haki ya kuchukua tahadhari.. hata hivyo aliulizwa mbona taarifa zake na mbunge wa Nzega zinakindhana mwenzie anasema watu 11 na yeye anasema watu 7 wakiwemo mawaziri? Zitto alijibu kwa kusema yeye hajui vyanzo vya bashe vilivyo mpa taarifa ila yeye ana vyanzo vyake hivyo siwezi jua vyanzo vya Mh Bashe.
Pia Mh Zitto aliulizwa kama anamjua muhusika wa utekaji huu akasema angekuwa anamjua asingelipiga kelele na wala isingekuwa mjadala tena...

Pia Mh Zitto alisema kuwa yeye kesho atawasilisha hoja bungeni kutaka waunde kamati maalum ya kuchunguza matukio hayo ya utekaji na lazima watu wawajibike

Source: DW(6:00-6:30 PM)
N:B Hadi sasa ni wazi kuna michezo tunachezewa na kuna mtu anatafutwa hapa na niwazi habari hizi zina chembe za uongo mwingi na lengo ni kuichonganisha serikali na wananchi na ni wazi watu wamejipanga kwa kila mbinu hili ionekane serikali ndio ina husika...
 
Kumbe halafu siku hizi imeingia style ya mtu kubuni uongo na kusingizia vyanzo vyake vya siri vimemjulisha

Huyo jamaa ni hopeless...Kinachonishangaza n kuwa kuna watanzania eti bado hawamuelewi

Pamoja na zito kujifanya mpinzani...hakuna siku hata moja kwenye umri wake wa siasa amewahi pata kashikashi kama za kina lissu na kina lema

He is harmless....na anachokiongea anakuwa ametumwa
 
Watazania na Wanasiasa punguzeki hizi kiki fake za kitekwa tuna mambo mengi ya kufanya kuipaisha Tanzania. Ninavyojua mtu aliyedhamiria kukuteka au kukutoa uhai hawezi kukutaarifu, hao ni wahuni tu.
 
Wasalaam wana jamvi:
Kama muelewavyo story za kuteka na kutaka kutekwa zimepamba moto na kila mtu hasa wabunge wanasema wanataka kutekwa.

Leo kwenye kipindi cha DW alitafutwa mbunge Zitto kuzungumzia hili swala kwanza aliulizwa kama ana taarifa ya bashe kusema kuna wabunge 11 wanatafutwa kutekwa akasema hana taarifa kamili na ni vigumu yeye kulielezea na alisema kuwa yeye binafsi alitonywa kuwa kuna watu saba nje ya bunge, wabunge na mawaziri watatu wanapangwa kutekwa....

Lakini Zitto aliulizwa una uhakika gani na vyanzo vyako kama havikudanganyi? alisema yeye ametonywa na ana haki ya kuchukua tahadhari.. hata hivyo aliulizwa mbona taarifa zake na mbunge wa Nzega zinakindhana mwenzie anasema watu 11 na yeye anasema watu 7 wakiwemo mawaziri? Zitto alijibu kwa kusema yeye hajui vyanzo vya bashe vilivyo mpa taarifa ila yeye ana vyanzo vyake hivyo siwezi jua vyanzo vya Mh Bashe.
Pia Mh Zitto aliulizwa kama anamjua muhusika wa utekaji huu akasema angekuwa anamjua asingelipiga kelele na wala isingekuwa mjadala tena...

Pia Mh Zitto alisema kuwa yeye kesho atawasilisha hoja bungeni kutaka waunde kamati maalum ya kuchunguza matukio hayo ya utekaji na lazima watu wawajibike

Source: DW(6:00-6:30 PM)
N:B Hadi sasa ni wazi kuna michezo tunachezewa na kuna mtu anatafutwa hapa na niwazi habari hizi zina chembe za uongo mwingi na lengo ni kuichonganisha serikali na wananchi na ni wazi watu wamejipanga kwa kila mbinu hili ionekane serikali ndio ina husika...
Mtafute roma mkatoliki atakuelezea vizuri kilichomkuta,
 
Mwigulu in this saga should be implicated haiwezekani waziri wa wizara husika anakua toothless

CCM jinsi inavyoendeshwa mnaonaje Bashite awe tu waziri mkuu wenu ,mtafutieni jimbo
 
Kweli kabisa.
Huyo jamaa ni hopeless...Kinachonishangaza n kuwa kuna watanzania eti bado hawamuelewi

Pamoja na zito kujifanya mpinzani...hakuna siku hata moja kwenye umri wake wa siasa amewahi pata kashikashi kama za kina lissu na kina lema

He is harmless....na anachokiongea anakuwa ametumwa
 
Wasalaam wana jamvi:
Kama muelewavyo story za kuteka na kutaka kutekwa zimepamba moto na kila mtu hasa wabunge wanasema wanataka kutekwa.

Leo kwenye kipindi cha DW alitafutwa mbunge Zitto kuzungumzia hili swala kwanza aliulizwa kama ana taarifa ya bashe kusema kuna wabunge 11 wanatafutwa kutekwa akasema hana taarifa kamili na ni vigumu yeye kulielezea na alisema kuwa yeye binafsi alitonywa kuwa kuna watu saba nje ya bunge, wabunge na mawaziri watatu wanapangwa kutekwa....

Lakini Zitto aliulizwa una uhakika gani na vyanzo vyako kama havikudanganyi? alisema yeye ametonywa na ana haki ya kuchukua tahadhari.. hata hivyo aliulizwa mbona taarifa zake na mbunge wa Nzega zinakindhana mwenzie anasema watu 11 na yeye anasema watu 7 wakiwemo mawaziri? Zitto alijibu kwa kusema yeye hajui vyanzo vya bashe vilivyo mpa taarifa ila yeye ana vyanzo vyake hivyo siwezi jua vyanzo vya Mh Bashe.
Pia Mh Zitto aliulizwa kama anamjua muhusika wa utekaji huu akasema angekuwa anamjua asingelipiga kelele na wala isingekuwa mjadala tena...

Pia Mh Zitto alisema kuwa yeye kesho atawasilisha hoja bungeni kutaka waunde kamati maalum ya kuchunguza matukio hayo ya utekaji na lazima watu wawajibike

Source: DW(6:00-6:30 PM)
N:B Hadi sasa ni wazi kuna michezo tunachezewa na kuna mtu anatafutwa hapa na niwazi habari hizi zina chembe za uongo mwingi na lengo ni kuichonganisha serikali na wananchi na ni wazi watu wamejipanga kwa kila mbinu hili ionekane serikali ndio ina husika...
Umenikumbusha Ulimboks
 
...

Yaani Zitto anatonywa kabla ya kutekwa? Hii movie ya Kihindi inakosa ladha sasa.
 
Acha mahaba ya kipuuzi wewe, embu jaribu kuteka leo uone kama kabla ya asubuhi utakuwa uraiani.
 
Back
Top Bottom