Zitto ni jeuri, akaidi agizo la Polisi

"Kesho 9 mchana kiongozi wa ACT wazalendo atazungumza makao makuu ya chama kujadili bajeti 2016, tukumbuke mkutano huu ukizuiliwa millennium tower na kutakiwa kujisalimisha polisi.

ZitTo sasa kawazidi CHADEMA kwa ukamanda .
ngoja chadema waje utatukanwa mpaka ujinyee!
 
Chadema ni watu makini we dogo assadsyria, wanasubiri uamuzi WA mahakama kule mwanza ili waendelee na mikutano Yao.
 
Stunts za zitto na waandishi ni za kitoto. Unahitaji kukosa aibu km zitto na dola ya wajinga kufanya hii mizaha.
 
Chadema ni watu makini we dogo assadsyria, wanasubiri uamuzi WA mahakama kule mwanza ili waendelee na mikutano Yao.
zaman enzi za lema arusha walikuwa wanasonga mbele ya polisi saiv wanatoka nduki balaaa
 
Wapinzani sasa waungane katika kupambana na huyu dikteta mbaka demokrasi. Baadhi ya wapinzani wameshakamatwa bila kuwepo sababu zozote za msingi bali uharamia na ubakaji demokrasi nchini na wengine kutoruhusiwa kuingia Bungeni na kamati fake ya maadili.
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
good idea
 
  • Thanks
Reactions: BAK

With zitto?
 
"Kesho 9 mchana kiongozi wa ACT wazalendo atazungumza makao makuu ya chama kujadili bajeti 2016, tukumbuke mkutano huu ukizuiliwa millennium tower na kutakiwa kujisalimisha polisi.

ZitTo sasa kawazidi CHADEMA kwa ukamanda .

akafanye aone, anadhani ni mda wa maigizo, huu ni mda wa kazi.
 
"Kesho 9 mchana kiongozi wa ACT wazalendo atazungumza makao makuu ya chama kujadili bajeti 2016, tukumbuke mkutano huu ukizuiliwa millennium tower na kutakiwa kujisalimisha polisi.

ZitTo sasa kawazidi CHADEMA kwa ukamanda .
Naona mtego wa ccm tayari umeshaanza kufanya kazi, mwenye akili atajua namaamisha kitu gani
 
ngoja chadema waje utatukanwa mpaka ujinyee!
Sasa hapo atukanwe kwa ajili gani?Kwa sasa tunalia na ujio wa lipumba ndani ya cuf
1465847663254.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapinzani sasa waungane katika kupambana na huyu dikteta mbaka demokrasi. Baadhi ya wapinzani wameshakamatwa bila kuwepo sababu zozote za msingi bali uharamia na ubakaji demokrasi nchini na wengine kutoruhusiwa kuingia Bungeni na kamati fake ya maadili.
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
Mkuu hata mimi hayo ndiyo mawazo na ushauri wangu maana sasa hivi ccm wanatumia kila mbinu kuwagawa wapinzani ili kuwapunguza nguvu
 
Divide and conquer Mkuu. Now it is the best time for opposition to put their difference aside in order to defend democracy in our beautiful country.

Back
Top Bottom