sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
AGALIYO WANAJAMVI? jaman nimekuwa na swali la nafis sasa naamua kulireta kwenu tusaidiane kulitatua, eti zitto kabwe ameenda kusoma kozi fupi Harvard University, hajajiuzuru, ila Mwigamba, anenda kusoma chuoni Nairobi, tena tawi la Tanzania lakini kajiuzuru nafasi yake ya ukatibu, hapa mimi naisi kuna jambo, kama sikusei jamaaa yule Miwgamba atakuwa Ametumbuliwa tu.