Zitto, hii safi sana.
Mbatia na Seif tunawasubiri.
What goes around comes around."Tunatoa wito kwa Vyama vyote vya siasa nchini kuunganisha nguvu katika kuhakikisha tunapigana vita [ dhidi ya udikteta] pamoja. Huu ni wakati wa vyama vya siasa na wanasiasa kuacha tofauti zao na kupambana kulinda uhuru wa kufanya siasa wakati wowote kwa mujibu wa Sheria."
Tulisema hayo baada ya kauli ya Rais kuzuia Vyama kufanya Siasa. Wito wetu bado upo pale pale. Hii sio vita ya chama kimoja kimoja. Narudia kutaka wanasiasa wa upinzani, ninawasihi tupigane vita hii pamoja. Tuweke tofauti zetu pembeni.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo.
Kama huwezi kusoma hata picha unashindwa kuangalia?!Kwani Ukawa imeshakufa?? Si mlijiapiza mtashirikiana kwa kila jambo
Unalazimisha ndoa.HahahahaZitto acha na hao wakuda, walikuita msaliti, tukahamia wote act, zitto tukijenge chama achana na ukuta.
Kwani kukiwa na maandamano kuna madhara gani mkuu??polisi si watatulinda??hata kama wakitangulia hao viongozi kwani policcm watawadhuru??(maana hiyo siyo kazi yao)maana naona kama unatahadharisha!hii nchi si ya amani??vitisho vya nini tena??Zito kaoa juzi...mke wake siku hiyi nimuone mbele kwenye maandamano kama mke wa dr slaa...mushumbusi...
Tumestuka...mambo ya kutangaza maandamano kisha mnajifungia majumbani mwenu na familia zenu sisi mnatuweka mbele tudundwe...yamepitwa na wakati...
Wazanzibar tayari wametupa somo zuri...wako kimya wamemgomea ayatollah wa c.uf kuingia barabarani...
Kumbe hiyo ndio kazi ya polisi mkuu???aiseeWalishindwa Kuungana Kuitoa CCM madarakani Ili wasipate Huo Udikteta.. leo Mnajiunga Ili ?
Shenzi kabisaaaaa.. Tena Polisi Siku Hiyo watawavunja miguu