VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Haya ni zaidi ya majipu. Ni matambazi. Ni Mabilioni ya Uswisi na yale mabilioni ya Escrow yaliyopenyezewa na kuchotwa kupitia Stanbic Bank. Zitto uliahidi kuwataja walioficha mabilioni Uswisi. Kubenea,kwenye mkutano wako wa kufungua kampeni zako,uliahidi kuwataja wa malumbesa na masandarusi ya Escrow.
Mko wapi,mbona kimya? Tajeni. Rais atawaunga mkono katika kutumbua matambazi hayo. Timizeni ahadi zenu. Katumieni kinga ya kibunge kutaja. Jitokezeni!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mko wapi,mbona kimya? Tajeni. Rais atawaunga mkono katika kutumbua matambazi hayo. Timizeni ahadi zenu. Katumieni kinga ya kibunge kutaja. Jitokezeni!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam