Zitto na CHADEMA tangu 2010

Zitto na CHADEMA tangu 2010

mimituu

Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
61
Reaction score
0
Nimekuwa nafuatilia kwa makini hali ya siasa za tanzania hasa ndani ya CHADEMA tangu kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2010, GAZETI LA MWANAHALISI liliwahi kuripoti taarifa za Zitto kabwe kushirikiana na Usalama wa taifa pamoja na CCM kuihujumu chadema; Mwanahalisi waliweka mpaka ushahidi wa simu (conversion) baina ya zito kabwe na wana usalama-Zitto hakuwahi kutishia kulishtaki gazeti wala mwanandishi-Hii ni tafsiri kwamba tuhuma zile zilikuwa za kweli.

KINACHOENDELEA SASA:
Kinachoendelea sasa; 1. UKAGUZI MATUMIZI YA FEDHA NDANI YA VYAMA. Jamani haihitaji kuwa hata na busara kidogo kujua Zitto Kabwe anatumiwa. Ni sawa nakubaliana na ukaguzi aliotaka kuufanya Zitto kabwe, HIVI NI RAHISI KUKATA TAWI WAKATI UMELIKALIA? UNAWEZA KUICHOMA MOTO NYUMBA YAKO MWENYEWE WAKATI UPO NDANI NA WEWE!
2. KWENDA KINYUME NA MAAMUZI YA CHAMA. Kama chama naamini huwa maamuzi yanayofanyika bungeni yanajadiliwa kabla ya kuingia bungeni! Kama wakisema leo wote tutoke nje kama kutakuwa na hili na hile wanaamua kwa pamoja!! NI LINI ZITTO KABWE AMEWAHI KUFANYA MAAMUZI YA PAMOJA KAMA HAYO???? Najua mtajitetea kuwa alikuwa na dharura, hakuwepo.............. kwa nini siku hizo zote huwa hayupo?????? hadi swala la katiba??????????? hakuwepo? au alijua/alihisi so hakutaka kuwakwaza CCM????

USHAURI WANGU: ZITTO ZUBERI KABWE!!!! Kila kukicha watanzania wana-AMKA usingizini; sasa hivi kila mwenye akili timamu anafahamu wewe unatumiwa- Najua kuwa wewe ni MJANJA SANA SANA, UKIPEWA MUDA HATA DAKIKA 10 TU UJITETEE KILA MTU ATAAMINI WEWE NI MKWELI; UNA MANENO MAZURI/MATAMU........CHADEMA na wasomi (waliofika angalau kidato cha nne) wengi wanafahamu hilo siku nyingi. SASA NI MUDA WA WEWE KUBADILIKA. Hautoweza kuiadhibu Chadema; Elewa kuwa ndani ya CCM YENYEWE KUNA WATU WANAICHUKIA CCM....NA HAO NDIO WANALETA TAARIFA ZA CCM CHADEMA. Chadema wanaelewa mchezo wote unaoufanya na vikao unavyokaa na pesa unazolipwa; Hawawezi kukubali yote hayo kwenye public kwa sababu CHADEMA WANAOGOPA MTEGO WA CCM, Chadema wanaelewa, wakikufukuza wewe wataleta mpasuko mkubwa kwenye chama, kwani kuna MAMBULULA wachache wasioelewa UJINGA UNAOUFANYA HAWA WATAKUFUATA....HATUTAKI KUFIKA HUKO. "nitaondoka nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu (chadema) na kumwambia baba baba ba ba ba ba nimekosa mbele ya chadema na wananchi wote" Utasamehewa tu.

NINACHOKIONA NDANI YA CHADEMA! Chadema wameshajua mtego wa CCM, wao hawagombani na wewe, wamekuwa Ukuta....wewe utapigaaaaaaa halafu utakuwa unaumia mwenyewe..... Chadema wanaelewa CCM hawaaminiki hata siku moja!!!!!!!!!!! kuna siku watakuacha pekee yako. Halafu wanakufanya --------; Wanachokifanya Mmoja anatumwa kukuchokoza, wewe kwa uelewa mdogo unakurupuka, halafu Chama kinakana kuwa si maamuzi yake na kwamba HAWANA UGONVI NA WEWE. CHADEMA WANAAKILI SAAAAAAAAAAAAANA.

NANI MSAADA MKUBWA KWENYE MAAMUZI YA CHADEMA KAMA HAYA.
Wanaoisaidia Chadema ni wengi sana sana sana; wengi wao watakuwa wanatuma ushauri wa siri bila mtu kujitaja jina wala cheo chake....naamini huwa hawapuuzi hata siku moja; Usishangae hata watu wako baadhi ndani ya CCM wanaishauri chadema wa-deal vipi na wewe! Naomba ufuatilie mimi ni nani na ikiwezekana uni-inbox, nipe secret e-mail address yako nitakueleza mipango yako yote uliyonayo dhidi ya chadema.

WATANZANIA KILA KUKICHA WANAAMKA-KUWA MAKINI SANA ZITTO KABWE-UTAUMBUKA. HAKUNA SIRI YA MTU ZAIDI YA MMOJA.
 
ushauri mzuri kwa Zitto bila shaka atakutafuta ummegee ushauri zaidi
 
Hauelewi unachokifanya; nimsaidie lema ili iweje. wewe jenga hoja ya kukanusha nilichokiandika, zungumzia maongezi ya zitto ya 2010 kukihujumu chama, elezea sbb za ukaguzi ndani ya vyama, elezea mazingira ya maamuzi magumu ya CDM bungune.....then sema kambi ya lema mzigoni!!!! TUBADILIKE VIJANA, ZITTO NI MWANASIASA MZURI SANA KAMA ANGETULIA HILO HALINA UBISHI HATA KIDOGO HATA CDM WANAELEWA HIVYO. TATIZO NI ZITTO KUTUMIWA KUIHUJUMU CDM.
 
Hana uwezo wa kupasua cdm huyo, ilikuwa zamani sana mwaka 2007 au 8 hivi, sio leo. LEO ni kama unyoya wa ndege tu ukitoka mmoja ndege anaruka kama kawa. AONDELEWE HARAKA SANA kama ikithibitika ni msaliti, ushahidi wa kimazingira uko safi 100%, let us crosscheck na teknoloji, hana ujanja, sayansi atuachie tumkamate kisayansi.
 
mleta mada ni mjinga. kwa hiyo kumbe mnayafumbia macho maovu yaliyojaa ndani ya chadema ili kukistiri??
 
Jamani tubadilike; Sio kumchafua Zitto, Narudi ZZK ni bonge la mwanasiasa tatizo hapa naona anajiua mwenyewe. Tumsaidie ZZK.
 
Nimekuwa nafuatilia kwa makini hali ya siasa za tanzania hasa ndani ya CHADEMA tangu kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2010, GAZETI LA MWANAHALISI liliwahi kuripoti taarifa za Zitto kabwe kushirikiana na Usalama wa taifa pamoja na CCM kuihujumu chadema; Mwanahalisi waliweka mpaka ushahidi wa simu (conversion) baina ya zito kabwe na wana usalama-Zitto hakuwahi kutishia kulishtaki gazeti wala mwanandishi-Hii ni tafsiri kwamba tuhuma zile zilikuwa za kweli.

KINACHOENDELEA SASA:
Kinachoendelea sasa; 1. UKAGUZI MATUMIZI YA FEDHA NDANI YA VYAMA. Jamani haihitaji kuwa hata na busara kidogo kujua Zitto Kabwe anatumiwa. Ni sawa nakubaliana na ukaguzi aliotaka kuufanya Zitto kabwe, HIVI NI RAHISI KUKATA TAWI WAKATI UMELIKALIA? UNAWEZA KUICHOMA MOTO NYUMBA YAKO MWENYEWE WAKATI UPO NDANI NA WEWE!
2. KWENDA KINYUME NA MAAMUZI YA CHAMA. Kama chama naamini huwa maamuzi yanayofanyika bungeni yanajadiliwa kabla ya kuingia bungeni! Kama wakisema leo wote tutoke nje kama kutakuwa na hili na hile wanaamua kwa pamoja!! NI LINI ZITTO KABWE AMEWAHI KUFANYA MAAMUZI YA PAMOJA KAMA HAYO???? Najua mtajitetea kuwa alikuwa na dharura, hakuwepo.............. kwa nini siku hizo zote huwa hayupo?????? hadi swala la katiba??????????? hakuwepo? au alijua/alihisi so hakutaka kuwakwaza CCM????

USHAURI WANGU: ZITTO ZUBERI KABWE!!!! Kila kukicha watanzania wana-AMKA usingizini; sasa hivi kila mwenye akili timamu anafahamu wewe unatumiwa- Najua kuwa wewe ni MJANJA SANA SANA, UKIPEWA MUDA HATA DAKIKA 10 TU UJITETEE KILA MTU ATAAMINI WEWE NI MKWELI; UNA MANENO MAZURI/MATAMU........CHADEMA na wasomi (waliofika angalau kidato cha nne) wengi wanafahamu hilo siku nyingi. SASA NI MUDA WA WEWE KUBADILIKA. Hautoweza kuiadhibu Chadema; Elewa kuwa ndani ya CCM YENYEWE KUNA WATU WANAICHUKIA CCM....NA HAO NDIO WANALETA TAARIFA ZA CCM CHADEMA. Chadema wanaelewa mchezo wote unaoufanya na vikao unavyokaa na pesa unazolipwa; Hawawezi kukubali yote hayo kwenye public kwa sababu CHADEMA WANAOGOPA MTEGO WA CCM, Chadema wanaelewa, wakikufukuza wewe wataleta mpasuko mkubwa kwenye chama, kwani kuna MAMBULULA wachache wasioelewa UJINGA UNAOUFANYA HAWA WATAKUFUATA....HATUTAKI KUFIKA HUKO. "nitaondoka nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu (chadema) na kumwambia baba baba ba ba ba ba nimekosa mbele ya chadema na wananchi wote" Utasamehewa tu.

NINACHOKIONA NDANI YA CHADEMA! Chadema wameshajua mtego wa CCM, wao hawagombani na wewe, wamekuwa Ukuta....wewe utapigaaaaaaa halafu utakuwa unaumia mwenyewe..... Chadema wanaelewa CCM hawaaminiki hata siku moja!!!!!!!!!!! kuna siku watakuacha pekee yako. Halafu wanakufanya --------; Wanachokifanya Mmoja anatumwa kukuchokoza, wewe kwa uelewa mdogo unakurupuka, halafu Chama kinakana kuwa si maamuzi yake na kwamba HAWANA UGONVI NA WEWE. CHADEMA WANAAKILI SAAAAAAAAAAAAANA.

NANI MSAADA MKUBWA KWENYE MAAMUZI YA CHADEMA KAMA HAYA.
Wanaoisaidia Chadema ni wengi sana sana sana; wengi wao watakuwa wanatuma ushauri wa siri bila mtu kujitaja jina wala cheo chake....naamini huwa hawapuuzi hata siku moja; Usishangae hata watu wako baadhi ndani ya CCM wanaishauri chadema wa-deal vipi na wewe! Naomba ufuatilie mimi ni nani na ikiwezekana uni-inbox, nipe secret e-mail address yako nitakueleza mipango yako yote uliyonayo dhidi ya chadema.

WATANZANIA KILA KUKICHA WANAAMKA-KUWA MAKINI SANA ZITTO KABWE-UTAUMBUKA. HAKUNA SIRI YA MTU ZAIDI YA MMOJA.

acheni viroba, uzuzu na utaahira. kwa hiyo akinya kuku sawa, ila bata pekee ndio anaharisha?? huo ni ulafi, ufisi, wizi na ufisadi uliokubuhu. fichueni maovu hata kama yamefanywa na baba zenu akina mbowe na slaa. nchi kwanza chama baadae. hujui hata kujenga hoja
 
Kama haujanielewa hata kidogo, nawasiwasi hata familia yako itakushinda; Kesho mkeo utaanza kumtangaza kwa majirani....JAMANI MKE WANGU KIKOJOZI/MALAYA/MCHAWI.......... Soooo mke wako mwenyewe umeshindwa kumuelimisha ukiwa ndani , sasa wewe si ndio TAHIRA. AU KATI YA MKEO NA WEWE NA MJINGA????
 
mleta mada ni mjinga. kwa hiyo kumbe mnayafumbia macho maovu yaliyojaa ndani ya chadema ili kukistiri??

Kama mumeo anamatatizo ndani ya nyumba yako (MLEVI/MALAYA/MWIZI........) nimesema mumeo kwa sbb najua wewe ni binti; Utachukua maamuzi gani sahihi? Kwenda kumnanga kwa majirani? Kuweka mabango barabarani? au Utafanya nini???? UAMUZI AMBAO UNGEFANYA NDIO ZZK ANATAKIWA AUFANYE.
 
kinachotafuna chadema hiki hapa
Niliipenda CHADEMA ya
kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani
nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili
kikinuka yeye fasta Dubai.
 
Jamani tubadilike; Sio kumchafua Zitto, Narudi ZZK ni bonge la mwanasiasa tatizo hapa naona anajiua mwenyewe. Tumsaidie ZZK.

''Jamani haihitaji kuwa hata na busara kidogo kujua Zitto Kabwe anatumiwa'' ....styl

Unaelewa ulichoandika au?! Kwenye bandiko lako unasema kuwa Zitto anatumiwa halafu hapa unaandika kuwa Sio kumchafua Zitto?!!!

Unaweza kuthibitisha kuwa anatumiwa?! Anatumiwa na nani?! CHADEMA kama Taasisi ina utaratibu gani wa kushughulika na watu wanaotumiwa?!

Nadhani imefika wakati sasa kuwa makini na mabandiko yetu kwenye mitandao ya kijamii...
 
Kama mumeo anamatatizo ndani ya nyumba yako (MLEVI/MALAYA/MWIZI........) nimesema mumeo kwa sbb najua wewe ni binti; Utachukua maamuzi gani sahihi? Kwenda kumnanga kwa majirani? Kuweka mabango barabarani? au Utafanya nini???? UAMUZI AMBAO UNGEFANYA NDIO ZZK ANATAKIWA AUFANYE.

asante kwa matusi mama lakini ufisadi ambao viongozi wa chadema wanaufanya ndio unawapa hofu kukaa meza moja na zitto, mana yule hana swalia mtume. atazidi kuwaumbua tu
 
Zitto asimame mwenyewe kama haiitaji chama. Narudia zitto ajenge chadema nayo imjenge. Au Abomoe chadema aijenge ccm. Goodafter noon.
 
Kama haujanielewa hata kidogo, nawasiwasi hata familia yako itakushinda; Kesho mkeo utaanza kumtangaza kwa majirani....JAMANI MKE WANGU KIKOJOZI/MALAYA/MCHAWI.......... Soooo mke wako mwenyewe umeshindwa kumuelimisha ukiwa ndani , sasa wewe si ndio TAHIRA. AU KATI YA MKEO NA WEWE NA MJINGA????

asante kwa matusi yako murwa kabisa. ila ufisadi unaofanywa na kina mbowe kununua majumba dubai, slaa kula ruzuku ya chama then anaenda kuvinjari ulaya na hawara na vinawapa hofu kuu wanamuona zito adui kwa sababu hapendi wizi kama wanavyoiba wao. wewe kibaraka utajua nini zaidi ya kubeba mikoba ya mumeo slaa
 
Kama haujanielewa hata kidogo, nawasiwasi hata familia yako itakushinda; Kesho mkeo utaanza kumtangaza kwa majirani....JAMANI MKE WANGU KIKOJOZI/MALAYA/MCHAWI.......... Soooo mke wako mwenyewe umeshindwa kumuelimisha ukiwa ndani , sasa wewe si ndio TAHIRA. AU KATI YA MKEO NA WEWE NA MJINGA????

haya matusi yako hata kwenye kanga yapo. vp leo mtamfukuza mwigamba kwa sababu hatoki kaskazini?? uchaguzi ndani ya saccos ya chadema lini? au mtei bado hajaamua amkabidhi nani urithi wa saccos ya familia yake
 
NJAA KITU KIBAYA SANA AMEKULA PESA ZA WATU LAZIMA AIHUJUM CDM VINGINEVYO ATAHUJUMIWA YEYE NA MACCM.
Nimekuwa nafuatilia kwa makini hali ya siasa za tanzania hasa ndani ya CHADEMA tangu kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Katika uchaguzi wa mwaka 2010, GAZETI LA MWANAHALISI liliwahi kuripoti taarifa za Zitto kabwe kushirikiana na Usalama wa taifa pamoja na CCM kuihujumu chadema; Mwanahalisi waliweka mpaka ushahidi wa simu (conversion) baina ya zito kabwe na wana usalama-Zitto hakuwahi kutishia kulishtaki gazeti wala mwanandishi-Hii ni tafsiri kwamba tuhuma zile zilikuwa za kweli. KINACHOENDELEA SASA: Kinachoendelea sasa; 1. UKAGUZI MATUMIZI YA FEDHA NDANI YA VYAMA. Jamani haihitaji kuwa hata na busara kidogo kujua Zitto Kabwe anatumiwa. Ni sawa nakubaliana na ukaguzi aliotaka kuufanya Zitto kabwe, HIVI NI RAHISI KUKATA TAWI WAKATI UMELIKALIA? UNAWEZA KUICHOMA MOTO NYUMBA YAKO MWENYEWE WAKATI UPO NDANI NA WEWE! 2. KWENDA KINYUME NA MAAMUZI YA CHAMA. Kama chama naamini huwa maamuzi yanayofanyika bungeni yanajadiliwa kabla ya kuingia bungeni
 
Japo Mh.Lema ni binadamu,Lakini linapokuja suala la kumchana mtu live "SIJAWAHI KUTOMUAMINI HATA SIKU MOJA" Ndo maana kila ninapo bahatika kuonana nae lazima nitenge muda kumsikiliza.Na labda tu nikili leo nilipokuwa nawasikia baadhi ya watu wakimtuhumu ZK nilikuwa bado sijawaelewa inawezekana kwa sababu walikuwa wanazunguka sana! Lkn baada ya huyu jamaa kujichanganya na kuingia kwenye anga za kamanda Lema na kupewa kubwa! Ndo nimeelewa mno siri ya mchezo wake.Ndo maana kwa kujinasua akakimbilia kuandika kabarua kakuomba ufafanuzi makao makuu (watoto wa mjini tunaitafsiri kuwa ni barua ya kuomba Dr.slaa amnusuru) maana mambo yalimzidi.Labda nimshauri tu huyu YUDA ya kuwa LEMA hawambishagi anapozungumza kwani sikuzote anatamka anachokiamini na hajawahi kufuta kauli yake hata siku moja huyu jamaa.Na hii ndo dawa ya unafiki wako,Kwani inaonyesha huyu YUDA amezoea kuja kuwapumbaza watu kwenye mitanadao ya kijamii wakati anapigachenga kujishughulisha na mipango ya kichama na kupelekea kuitelekeza ofisi yake pale makao makuu,Na amekuwa akiita press uchochoroni badala ya kufanyia ofisini kwake pale makao makuu! Haya yote watu washayabaini lengo ni nini.Sasa sikuhz ukiingia kwenye mitandao ya kijamii na watu wanakuibukia hukohuko kukuchana live! Maana watu walikuwa wakiona umelopoka huku mitandaoni au kwenye press wanakusubiria wakukalishe pale ofisini kwako wakukosoea au kukushauri lkn cha ajabu wamekushitukia kule hautokekei na unalala mbele ndo maana wankufuata hukohuko.
 
Back
Top Bottom