Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Lissu ndiyo habari ya mujiniMembe wamebugi.. upinzani wamwachie tui lissu
Mnajisumbua tu Membe kiboko ya ccm.Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.
Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.
Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.
Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Si tuu unafiki pia ni ka binafsi, kenyewe kanaangalia tumbo lake (jimbo) uraisi ambao anajua kwa asilimia 100 hawezi shinda anawasukumizia wengineMwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.
Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.
Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.
Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
vipi wewe mkuu mungu akikuengua kabla ya lisu kuenguliwa na tume na husipate cha kusimulia, acheni kupenda kuwaombea mabaya au vipi mgombea wa ccm akienguliwa na tume nayo utasemaje ? tulisha sema wagombea wote waliochukua form tume wana sifa na ndo maana wakapewa , hakuna kuengua mtu waachwe waenguliwe na wananchi ambao ndo wahajili wakuu basiBora Membe yupo maana Lissu anaenguliwa na tume mapema sana
Dua la kuku hilo, mtaishia kuroga tuBora Membe yupo maana Lissu anaenguliwa na tume mapema sana
Ubarikiwe sana kiongozi kwa mchango wenye tija kwa mustakabali wa taifa letu.vipi wewe mkuu mungu akikuengua kabla ya lisu kuenguliwa na tume na husipate cha kusimulia, acheni kupenda kuwaombea mabaya au vipi mgombea wa ccm akienguliwa na tume nayo utasemaje ? tulisha sema wagombea wote waliochukua form tume wana sifa na ndo maana wakapewa , hakuna kuengua mtu waachwe waenguliwe na wananchi ambao ndo wahajili wakuu basi
Zitto nasemaga kila siku kuwa anapenda sana kuvimbisha kifua sana na mtu kama huyo ni hatari na mbinafsi.Si tuu unafiki pia ni ka binafsi, kenyewe kanaangalia tumbo lake (jimbo) uraisi ambao anajua kwa asilimia 100 hawezi shinda anawasukumizia wengine
๐๐๐๐Nimecheka kama mazuri,aisee zito sio mtu mzuri ni mjanja mjanja sana wa kusoma alama za nyakati.๐๐yeye ni kusukumiza tu wenzie kupima kina cha maji ๐๐raha Sana.Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.
Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.
Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.
Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.
Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.
Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.
Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Kamtukanaje?We jamaa bana, Membe ndio ameomba agombee, tangia hata hajajiunga na ACT alikuwa anasema atagombea Urais, Tena alitaka Upinzani uungane wampe yeye
Na Hili Swala la Membe kukosa mvuto lishajadiliwa hapa Sana nami nikaliunga mkono, Ila ukichosea wewe umemtukana
mkosoe Kistaarabu sio matusi haya
Na Mbowe je?๐๐๐๐Nimecheka kama mazuri,aisee zito sio mtu mzuri ni mjanja mjanja sana wa kusoma alama za nyakati.๐๐yeye ni kusukumiza tu wenzie kupima kina cha maji ๐๐raha Sana.
Wote hao ndio wale wale๐๐๐Na Mbowe je?