Zitto matatani tena

Unafiki wa huyu dogo hautafichika.mwenzako (kitalu mkumbo) ameshadoda na sasa anaikana cdm kweupe si gizan tena.
 

Duh, surely.
 

we dada hebu twende taratibu, unataka chadema ibadilike iwe ccm?

maccm mshafeli tena, hivi wewe unawatishia wanachadema kwamba lazima wampende/wamuunge mkono zitto!!!!!!!"
kama mwampenda mpeni uenyekiti "anaoutaka" wa ccm full stop
 

We upo nchi gan mkuu??
 
Yametimia asante kwa wote waliona mbali Kung"amua yuda. Watz
 
CDM ni mpango wa Mungu.Yeyote anaeuvuruga lazima apate Mapigo.CC.DR.Kitila Mkumbo.
usitumie jina la Mungu kuhalalisha mambo usiyoyajua,,,,
Tetea nchi yako usitetee chama
 

CCM ingekuwa inamuhanya,isingepigana kutwa kucha kutaka awe mwenyekiti wa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…