ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
LisuVipi; kakimbia Kigoma? Si ni mgombea wa wa ubunge wa Kigoma mjini?
Basi mzee. Mnyika kakimbia jimbo kwa kuogopa aibu, Mbowe maji shingoni, Zitto maji shingoni- anategemea kutengeza channel za kupata ruzuku ya ACT tu kwa kupata wabunge Pemba na Lindi. Ni Lema tu ndiye anayeweza kufurukuta kidogo na huenda akashinda. Time will tellLisu
Lema
Mnyika
Mbowe
Tundu Lissu et al
Hawa wanaweza jimbo lolote hapa nchini na wakashinda.
Usipime kina cha maji kwa ugoko
Membe amekata tamaaJamani Membe vipi ?
Ndio ameshakimbia kampeni ?
Alisema tarehe 17/09 tutaanza kuona jinsi kazi nzuri itakavyofanyika kwenye majukwaa
Mpaka sasa hakuna chochote.
Zitto hana mpinzani Kigoma ,, na vile vile ameamua kumpisha shetani wa kijani atoke kwanza Kigoma then zitto akaimalizie kazi vzrVipi; kakimbia Kigoma? Si ni mgombea wa ubunge wa Kigoma mjini?
Jamani mbona ACT ni Kigoma, Mtwara, Lindi na Zanzibar tu au ndio katiba ya ACT ilivyo?Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe leo Septemba 18, 2020 atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Ndugu Hassan Uled.
Muda: Kuanzia Saa 8:00 hadi saa 12 jioni.
Mahali: Viwanja vya Mtaa wa Sinani.
Aidha Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe kesho Septemba 19,2020 atahutubia mikutano miwili ya hadhara kama ifuatavyo:
- Saa 4:00 asubuhi atamnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Newala Mjini, Ndugu Mbaraka Chilumba.
Wapi: Viwanja vya Mahakamani, Newala Mjini.
Jumamosi hiyo hiyo saa
8:00 mchana kiongozi wa Chama atamnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Lulindi, Ndugu Jerome Dismas Bwanausi.
Wapi: Viwanja vya Chiungutwa.
Wote mnakaribishwa
Imetolewa na:
Arodia Peter
Afisa Habari ( ACT-Wazalendo).
Leo Septemba 18, 2020.
Wamepima upepo ukoelekeaJamani mbona ACT ni Kigoma, Mtwara, Lindi na Zanzibar tu au ndio katiba ya ACT ilivyo?
Basi mzee. Mnyika kakimbia jimbo kwa kuogopa aibu, Mbowe maji shingoni, Zitto maji shingoni- anategemea kutengeza channel za kupata ruzuku ya ACT tu kwa kupata wabunge Pemba na Lindi. Ni Lema tu ndiye anayeweza kufurukuta kidogo na huenda akashinda. Time will tell
Mnyika kakimbia jimbo? Toka 2015 alishagoma kugombea ubunge ila waliforce dakka za mwisho kumpa fomu maana ilikua ama awe katibu au ubunge ila sio vyote kwa pamoja maana vilimcost 2010-15 hasa jimboni na hilo aliweka wazi toka uchaguzi wa ndani hujaanza.Basi mzee. Mnyika kakimbia jimbo kwa kuogopa aibu, Mbowe maji shingoni, Zitto maji shingoni- anategemea kutengeza channel za kupata ruzuku ya ACT tu kwa kupata wabunge Pemba na Lindi. Ni Lema tu ndiye anayeweza kufurukuta kidogo na huenda akashinda. Time will tell
Sawa mzee; nilikuwa najua kuwa alikuwa mbunge na katibu mkuu pia. Sikujua kuwa Katibu mkuu haruhusiwi kuwa mbunge.Mnyika kakimbia jimbo? Toka 2015 alishagoma kugombea ubunge ila waliforce dakka za mwisho kumpa fomu maana ilikua ama awe katibu au ubunge ila sio vyote kwa pamoja maana vilimcost 2010-15 hasa jimboni na hilo aliweka wazi toka uchaguzi wa ndani hujaanza.
Sasa mnaposema amekimbia inatoka wapi? Si nyie ndio mlikua mnashauri kwa mapovu kuwa mtendaji mkuu asiwe mbunge? Ssa Mnyika na Kigaila wote hawagombei bado nongwa!!
Funny