Zitto kuhutubia Shinyanga leo

Hivo ndivo tunavyotaka, viongozi wote wa chama wajenge chama na sio majungu, kama kina lema! Hongera zitto!
 
vipi? na ile kadi ya ccm anayomiliki slaa amerudisha au bado anayo!
 
Hii ndo tofauti ya Mikutano ya Zitto na Mbowe Family(lema,Slaa)zitto anajenga Chama wao Wanatunyonya,mikutano ya Mbowe Family wanatumia Chopa(gharama kubwa)Zitto anatumia gari kutembea
Zitto jenga ili ruzuku iongezeke ili Josephine atumie
 
Wewe si Chadema, pole kwa kujifanya unakijali sana Chadema kumbe unafurahi tukiwa kwenye msigano.
 
Hii ndo tofauti ya Mikutano ya Zitto na Mbowe Family(lema,Slaa)zitto anajenga Chama wao Wanatunyonya,mikutano ya Mbowe Family wanatumia Chopa(gharama kubwa)Zitto anatumia gari kutembea
Zitto jenga ili ruzuku iongezeke ili Josephine atumie

Vibaraka wa Lumumba mnahangaika sana kumshabikia huyu mtu wenu..
 
Wana CHADEMA tusibishane sana kwani SIASA ni safari ndefu,mbeleni tutajua pumba ni zipi na ngano ni ipi. Kwa hali ya kisiasa hapa Tz ukweli TAHADHARI ni muhimu kuchukuliwa hasa kwa wale wanaosadikiwa ni mamluki wa chama tawala hilo si jambo la kupuuzia. Bali kwa suala la Zitto,true colors zitajitokeza it is just a matter time.....real i hate traitors if so.
 
Chadema sio tu inamwitaji zito, inawahitaji wananchi wote ambao sio wanachama wa chadema ili kuchukua dola

Sasa hizi dharau za kuhisi mtu asie mwanachadema hana faida ni umbumbu na kutokuelewa sayansi ya siasa.
 
tutakuwa pamoja makamanda wote kwenye viwanja vya mahakama ya mwanzo nguzo8
 
Huna lolote we mbulula. Na hayo majitu ya kasikazini yakae yakijua ikulu hayakanyagi. Nyerere aliacha amekataza haya mabinafsi yasikanyage ikulu.

Mijitu ya kaskazini hutokwa povu ikisikia jina ZITTO.Ndani ya chadema hakuna kama zitto,wengine mbulula tu
 
Mijitu ya kaskazini hutokwa povu ikisikia jina ZITTO.Ndani ya chadema hakuna kama zitto,wengine mbulula tu

Inawezekana hujapiga mswaki mpaka saa hizi, that why unaongea utumbo na harufu ya mavi inakutoka wewe GAMBA aka Books 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…