Zitto kuhutubia Shinyanga leo

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
817
Reaction score
2,091
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe leo majira ya saa 9 mchana atuwahutubia Wananchi wa Shinyanga Mjini (kuwasilimu) akiwa njiani kuelekea Mkoani Mwanza. Wote mnakaribishwa
 
Awe makini na red brigade ya slaa isije msababishia majeraha.
 
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema
 
Zitto akishahutubia tu, thread hi itafungwa na watu hawataruhusiwa kujadili kile alichokisema.

Where are we going?
 
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema

Huna lolote we mbulula. Na hayo majitu ya kasikazini yakae yakijua ikulu hayakanyagi. Nyerere aliacha amekataza haya mabinafsi yasikanyage ikulu.
 
hata akizunguka nchi nzima yeye bado nimnakfi tu na wala hatupi shida chadema

sio wanaCDM wote tunaomuona kama unavyomuona wewe, kwetu sisi huyu bado ni kiongozi wetu, ni NAIBU KATIBU MKUU WETU, hizo tuhuma zenu za kihunihuni mlizoamua kumtengenezea huko vichochoroni hazituumizi vichwa.
siku chama kitakapothibitisha ana makosa, kitatufahamisha na hatua za kuchukuliwa, bila shaka katiba yetu ya CDM ipo wazi na haifichifichi mambo kama kama nyie mamluki mliojipachika uanachama wa CDM huku mkichangia kukigawa chama kwa kubagua viongozi kwa malengo mnayoyajua nyie.
 
Wenyewe wapo ofisini wanamalizia ruzuku ya chama ya mwezi huu kwa kukuchafua wewe, ila we ni ng'ome imara upo bize kukijenga chama na kushugulikia matatizo ya watanzania. Zito songa mbele ukombozi wa taifa hili unategemewa kupatikana kupitia kwako.
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe leo majira ya saa 9 mchana atuwahutubia Wananchi wa Shinyanga Mjini (kuwasilimu) akiwa njiani kuelekea Mkoani Mwanza. Wote mnakaribishwa

I like Zitto's spirit.. of moving forward ever...
 

Zitto aachwe afanye kazi ya ukombozi wababaishaji wamuache ametumia zaidi ya nusu ya maisha ya umri wake kuijenga chadema hawezi kuamua eti kuisaliti au kuibomoa! I seriouly doubt it!
 
Huo ndio ukwel hata ukiiniita jina gani, mtatoka povu sana misukule ya Zitto lakin hamtaweza kuiua chadema kwa mgongo wa kuijenga
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…