RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,332
- 10,540
Uweli nijambo lisilopendwa kusemwa na watu wengi,ambao watu hao ukweli huo unawaumiza.
Lakini leo hii najiuliza Zitto Kabwe amesahau ukweli huu,alio ambiwa na mahasimu wake wa kisiasa?.Nakumbuka kipindi kile ulipodharauliwa,dhihakiwa,tukanwa na kupewa majina yote mabaya.Uliitwa Yuda Eskarioti,walidai wewe ndio Mrema mpya,wengine wakasema wewe ndio Cheyo mpya.
Nakumbuka kipindi kile ulipofiwa na mama yako,hawakufika hata kukufariji msibani.Hawakuona umuhimu huo ingawa mama yako alikuwa mwanachama wao.
Unayakumbuka maneno hayo
"Zitto Kabwe ni nani!,watu wanafikiri tunachuki na Zitto,Zitto!.Tunakaa tunapanga mipango yakushika dola lakini yeye anaamkia usalama wa taifa.Usaliti ndani ya chama hiki hauvumiliki piriod!.Na huyu ni mmoja lakini tukigundua na mwingine!.This is a war!.Kamanda pale kasema lakini mie nikisema eeh!.Jaman asanteni".
Ulijifunza nini uliposikia maneno hayo wewe!.Bado najiuliza umesahau chopa zilizokondiwa kwenda kukupoteza jimboni kwako?.
Bado najiuliza umesahau ulivyoambiwa chama hiki hatuwezi kumkabidhi mtu from no where?.
Unayakumbuka maneno yote yale aliyoyasema mama yako!.Aliposema anamshukuru Mungu heri umefukuzwa ndani ya chama maana hilo ni dogo lakini hajui wangefunya nini kubwa zaidi?.
Bado najiuliza je umesahau kama chama unachokiongoza,walidai kinafadhaliwa na "Lowasa".
Umesahau kama chama chako ndio ulikuwa "mpini wa kuumaliza upinzani".Umesahau hekaya zote zile ulizotengenezewa kuwa unachukua fedha Ujeremani.
Umesahau ulivyoomba kujiunga na ukawa ukakataliwa?.
Najiua wamekudharau sana,pia wamekutesa sana na pia wa wamekupotezea muda.
Unakumbuka ulipoambiwa kuwa unafisadi pesa nssf,tanapa.
Najiuliza bado umesahau walivyokuandalia watu wa kukuzomea,kukukeli na kukurushia mawe pindi ulipokuwa unafyeka mapori(misitu).
Nasikia kuwa umesamehe yote ysliyopita.Kwa sababu wewe unaamini Taifa kwanza vyama baadae.Lakini hao unaoshirikiana nao unafikiri wanatanguliza nini chama na nchi?.
Vipi unakumbuka mdogo wako kafurila alivyowaambia kuwa kigoma hamna uwezo wa kuanzisha chama labda chama cha mawese?.
Bado unamkumbuka Dr Slaa?.
Tambua wewe ni weak point katika siasa za nchi hii.Unakumbuka kama mgogoro wa Kafurila na Nccr walisema wewe ndio muanzirishi.
Unakumbuka walivyofurahi baada yakushindwa mahakamani na wakataka ubunge wako utenguliwe.
Je bado unakumbuka walivyotaka kuku........
Na je "KARMA LAW" .........
Mjukuu wa Luhanyula.
Itaendea....