Ashakwambia kuwa yeye ndiye alpha na omegaRais akimpa uwaziri huo Zitto, litakuwa kosa kubwa kabisa la kiufundi kuwahi kulifanya katika shughuli zake za kuongoza nchi mpaka wakati huo. Nadhani, atatumia 'macho yake matano' kumuweka mtu anayefaa nafasi hiyo.
Asante sana mama kwa kumpatia jibu tosha maana huyo hamjuiMaslahi gani
Kawaulize Kigoma kaskazini ndio wanamjua
We piga domo tuu
Umeonaeeeee?hiyo inadhihirisha alivyo na connections na ccmZito tapeli wa siasa za umaskini na ujinga, waambie waendelee kubadilishana majimbo na serukamba, pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa majamaa wabaya sana kwa ukabiraKumbe ndiyo chuki zenu kwa wachaga zinapotokea.
Nyie endeleeni kupiga mdomo na kutafuta kazi serikali ni ili muibe mjaze tumbo zenu huku kichwani mkiwa 0 brain
Nipo huku Kimara na Mh. Lwakatare, sijui jimboni atarudi lini.Wewe unaongea ukiwa dsm au kwenu kanyigo sisi tunaongea tukiwa hapa kigoma wacha kupalilia kitumbua kwa unafiki
In God we trust
Mwl Jk Nyerere alishasema kuwa ukiona mtu anashindwa kutetea hoja na kuingiza ukabila na udini ujue huyo amefirisika kisiasaHuyo ni Lipumba.
Kilichopo ni kubagua watu kikanda, kikabila na baadae naona udini ukiingia kwa kasi ya ajabu
Tangu alipotimuliwa CDM ameshuka umaarufu.Zitto anawachukia wachaga with passion
Ila bila wao asiingewahi kuwa chochote bila wachaga
Kasoma kibohehe na Siasa kafundishwa na Mbowe
Aendeleze chuki tuone zitamfikisha wapi.. Siasa hazinaga umilele
Njaa inawasumbua sana mkuu hivyo wanatumikaHii ngonjera aliyotoa huyu mpambe ni album tosha
Akili kubwa yule. Haiwezi kupita siku bila kuzungumziwa. Wakati mwingine ukawa mnajikomba kwake.Tangu alipotimuliwa CDM ameshuka umaarufu.
Anatumia sh ngapi akiwa huko jera?serikali inatumia sh ngapi kumkamata na kumsafirisha?Mbona yeye ndiye analala jela!?
Umesema kweli mkuu anarangi sawa na kinyongaZitto kabwe ni mfano wa Mtu anayekwambia umalaya haufai alafu unamkuta pale sinza mida ya saa nne amezungukwa na madada poa, zitto ameisha anatafuta favour tu sasa hivi akipata atageuka MREMA
Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
Alisomeshwa na wachaga au juhudi zake darasani? Mbowe hana uwezo wa kumfundisha Zitto siasa. Sema Mbowe alikuwa mwenyekiti wa Zitto wakati yupo chademaZitto anawachukia wachaga with passion
Ila bila wao asiingewahi kuwa chochote bila wachaga
Kasoma kibohehe na Siasa kafundishwa na Mbowe
Aendeleze chuki tuone zitamfikisha wapi.. Siasa hazinaga umilele
Wataendelea kubwabwaja na kudanganywa kwa pipi tu yaani kigoma haitakaa ijilinganishe na kilimanjaroUkitaka kulinganisha maeneo mengine na Kilimanjaro jiulize kwanza mna shule ngapi za msingi na sekondari ndipo muanze hizo sarakasi za maendeleo! Mna shule moja ya sekondari inahudumia vijiji kumi kisha mnashindana na wenye zaidi ya sekondari mbili kila kata!
Tanzania bila UBUBUSA inawezekana
Ndani ya cdm kuna viongozi wasafii wanao diliki kusema kuwa usaliti kwao ni mwikoHakuwa na vigezo vyakuwa nawatu makini
NI CCM wanaoweza kumwelewa zito kwakuwa akili zao zinafanana
Vipi hali ya jimboni kwenu? Au usharudi kwenu Rwanda kupiga kura?Wataendelea kubwabwaja na kudanganywa kwa pipi tu yaani kigoma haitakaa ijilinganishe na kilimanjaro
In God we trust
Muulize huyo maana ni ndugu yako atakujibu na jibu jepesi sana kwa wana cdm hakuna ya kumuona mbunge bali ni huduma tu cdm hawalembi