Zitto kabwe karibu mbeya tunahamu kusikia toka kwako si propaganda za hawa jamaa

aje aone moto utavyomuwakia, mbeya tunajitambua, hatupapatiki na wanasiasa wanaoenda kula viapo kwa waganga, alisema ana majina ya watu wenye mabilioni uswisi, werema kambana akakiri tena kwa kiapo hana hayo majina, CHEAP POPURALITY HAS GOT A PRICE
 

Nadhani wewe huna Data sahihi,mbona Waha ni wengi sana katika Nafasi Nyingi tu,Sifa kubwa ya waha ni kuwa sio bora liende,sio wanafiki,wanapenda kutoa maoni yao nahawapendi sera za kumfurahisha mtu

Wengine ni wazee wa kujirahisisha kwa mabwana zao akina Mbowe

Hebu angalia wamegeuza CDM kuwa Chama cha wazinzi MBOWE kapora mke wa mtu JOYCE MUKYA mme wake anafanya kazi NGOs moja sipendi kuitaja

Dr Slaa yeye ndo mporaji namba moja mpaka amezaa na mke wa mtu na kamng'ang'ania kama ruba

Siri kubwa ya kuchagua Viti Maalum CDM bila kufuata kura za wajumbe nakuja na majina yao baada ya uchaguzi kufutwa ni baada ya kuangushwa vidosho wao a.k.a viburudisho

Kisu cha mwisho ni kuwa hata yule binti aliyefukuzwa CDM ni baada ya kukataa kutumika na akina..............
 
we acha uongo we na zitto alitangulia nani tatizo hujui kuwa mbowe na slaa wote wana kadi za ccm na wamekili hadharani hivi wewe ukiamua kuokoka unabaki na hilizi et ni mali yangu utakuwa shetani katikati ya watu wa MUNGU

hapo ndiyo umeandika madudu gani sasa ?
 
aje aone moto utavyomuwakia, mbeya tunajitambua, hatupapatiki na wanasiasa wanaoenda kula viapo kwa waganga, alisema ana majina ya watu wenye mabilioni uswisi, werema kambana akakiri tena kwa kiapo hana hayo majina, CHEAP POPURALITY HAS GOT A PRICE

Huna lolote,KIYEYEU wa Wenda/Tanangozi Iringa
 
Mbeya ya mwandiga labda

Kumyitu tukulonda umundu ugwanaloli, atile abhamenye abha bhafisile ikyuma nfindoli loli jomma ukubhalata. Linga ali jo Dr. Slaa nangali abhalatile lijolo. Zito ntungulu. Mbeya ajileke angisa nkutungulupa.
 

Aje hadi na Kwako na Kabang usimnyime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…