Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,790
Labda anaumwa, kwani yeye ni mashine? Mbona wewe ulipotea kabisa kwa karibia wiki moja baada ya maandamano ya dada yako Mange kubuma?Zitto Kabwe ni mmoja wa wanasiasa ambao wako active sana kwenye matumizi ya mitandao na ni mara chache sana kuona siku inapita haja-post chochote mtandaoni hasa twitter na Instagram.
Cha kushangaza ni kuwa, tangu tarehe 08/07/2018 kapotea kabisa mtandaoni ingawa yametokea matukio ambayo kwa kawaida yake sidhani kama angeacha kuyaongelea kama lile la mapokezi ya Dreamliner na hili la leo la Twaweza kutakiwa kujieleza.
Zitto na chama chake wanajitahidi sana kutumia mitandao ya kijamii kufanya siasa na pengine kwa sasa ndio wanaongoza katika matumizi ya mitandao kufanya shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Wanasiasa wengine wanaweza kumaliza hata wiki hawaonekani mtandaoni jambo ambalo mimi binafsi naliona sio zuri sana kwao hasa katika nyakati hizi ambazo uhuru wao wa kufanya siasa za majukwaani umeminywa hivyo nilitarajia wangeongeza juhudi za kutumia mitandao kuwasiliana na wapiga kura wao, kujadili issues, kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu vyama vyao, n.k.
Wakati wengine wanatumia sana matangazo ya live ya tv kufanya siasa, Zitto na chama chake wanatumia sana mitandao ikiwemo JF kuendesha shughuli zao ila kwa siku tatu na sasa yakiwa yamebaki masaa machache ingie siku ya nne, Zitto kapotea kabisa hewani tofauti na kawaida yake.
Swali ni je, kabadili style ya kufanya siasa na kutumia mitandao au kuna jambo limemsibu?
Wapinzani, kwa sasa mnapaswa sana kuongeza nguvu ya matumizi ya mitandao kuliko wakati wowote ule ili muweze kukabiliana na hali hii ya sasa.
uongo utakusaidiaHahahaha ile id ya yule aliyejifanya ni mtaalamu wenu wa ndege ndio zitto mwenyewe
mtu anayeweza kukopi chochote kutoka kwa Musiba moja kwa moja anaingia kwenye kitabu changu cha wagonjwa wa akili
... taabu saanaamtu anayeweza kukopi chochote kutoka kwa Musiba moja kwa moja anaingia kwenye kitabu changu cha wagonjwa wa akili
Sahihi kabisa!!Hahahaha ile id ya yule aliyejifanya ni mtaalamu wenu wa ndege ndio zitto mwenyewe
Mkuu hujui kwamba yupo busy kuandaa mazingira ya kuunganisha chama chake na CHADEMA?Zitto Kabwe ni mmoja wa wanasiasa ambao wako active sana kwenye matumizi ya mitandao na ni mara chache sana kuona siku inapita haja-post chochote mtandaoni hasa twitter na Instagram.
Cha kushangaza ni kuwa, tangu tarehe 08/07/2018 kapotea kabisa mtandaoni ingawa yametokea matukio ambayo kwa kawaida yake sidhani kama angeacha kuyaongelea kama lile la mapokezi ya Dreamliner na hili la leo la Twaweza kutakiwa kujieleza.
Zitto na chama chake wanajitahidi sana kutumia mitandao ya kijamii kufanya siasa na pengine kwa sasa ndio wanaongoza katika matumizi ya mitandao kufanya shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Wanasiasa wengine wanaweza kumaliza hata wiki hawaonekani mtandaoni jambo ambalo mimi binafsi naliona sio zuri sana kwao hasa katika nyakati hizi ambazo uhuru wao wa kufanya siasa za majukwaani umeminywa hivyo nilitarajia wangeongeza juhudi za kutumia mitandao kuwasiliana na wapiga kura wao, kujadili issues, kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu vyama vyao, n.k.
Wakati wengine wanatumia sana matangazo ya live ya tv kufanya siasa, Zitto na chama chake wanatumia sana mitandao ikiwemo JF kuendesha shughuli zao ila kwa siku tatu na sasa yakiwa yamebaki masaa machache ingie siku ya nne, Zitto kapotea kabisa hewani tofauti na kawaida yake.
Swali ni je, kabadili style ya kufanya siasa na kutumia mitandao au kuna jambo limemsibu?
Wapinzani, kwa sasa mnapaswa sana kuongeza nguvu ya matumizi ya mitandao kuliko wakati wowote ule ili muweze kukabiliana na hali hii ya sasa.
Utakuwa na matatizo ya akili zaidi ya Musiba!Anawasiliana na Lissu /dereva wa lissu kutafuta vielelezo....BY Musiba
Una uhakika na maneno yako?Labda anaumwa, kwani yeye ni mashine? Mbona wewe ulipotea kabisa kwa karibia wiki moja baada ya maandamano ya dada yako Mange kubuma?
Kwa asilimia mia moja.Una uhakika na maneno yako?