Wana Bodi,
Sikiliza moja kwa moja kipindi cha Generali on Monday kupitia Arusha Mambo FM ambapo sasa hivi Mh, Zito
Kable, Filikunjombe na Peter Selukamba wanajadili kilichojiri katika kikao cha Nane cha Bunge lililopita.
ili kusikiliza tembelea
www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." page ya tune in ikifunguka tutafurahi uki like radio yetu,
Source: Arusha Mambo.