Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,566
- 13,541
Nimemsukia Jana alisema eti uchumi shirikishi yaani input output matrix/model lakini hajui kuwa kufanya hivyo ni plan ya mda mrefu na raisi ana miaka kumi tu na anataka awe assesed kwa mafanikio ya ndani ya mda wake. Kikwete ameongoza kwa miaka kumi wala hajawahi hata siku moja kuongelea hiyo concept ambayo inakuwa integrated na cge model. Anamuandama jpm kwa kuwa ni results oriended.
Pili ili hiyo model iwe effective kuna assumptions zake yaani technologia iwe kubwa ya ndani na si kwa mda mfupi sana ingepaswa watangulizi Wa jpm wawe wameshamuandalia mazingira hayo lakini yeye mwenyewe ndo anaandaa mazingira kwa uchumi mkubwa(macroecomic variables)
Zitto Nina wasiwasi kama alielewa maana ya input output model ndiyo maana prof mkenda katibu Wa wizara ile alikuwa anacheka tu kwa jinsi alivyomweupe.