Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;
"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)
"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???
''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.
''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.
''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!
''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....
Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.