Zitto: CCM imechanganyikiwa

Chanzo gazeti la kufungia utumbo
 
Afande Sele amesema viongozi wa ACT ni "Popo" si wanyama si ndege.Yaani Ni wanafiki balaa.
Si wameshikiwa akili na lumumba, hela bhana inaweza ikakushushia thamani yako na kukuvua utu wako, siamin kama yule zitto makini wa CHADEMA ndio kaja kuwa kama akina mrema na cheyo
 
Sasa kwa nini usinunue gazeti usome then ndo uje utoe habari hapa...

Pengine yuko mbali vijijini ambako magazeti hayafiki au yanachelewa kufika na amesikia hilo kwenye redio ambazo husoma vichwa vya habari...au inawezekana ni miongoni mwa wale ambao hurundikana kwenye vioski vya magazeti kusoma vichwa vya habari vya magazeti na hata kuwapa shida wanunuzi wa kweli...
 
mbona post nyingi za zito & company siku hizi ni za kukopi facebook. kwa nini haweki hapa jf?
 
Hivi mnaoponda happa mmemsoma zitto alichoongea? Kamwaga point za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…