Zitto azidi kuchanua siasa za upinzani East Africa

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,310
6,544
zkabwe.jpg

Wanasifika kwa siasa za masuala na hoja zenye takwimu

Tanzania: Zitto Kabwe
Kenya: Raila Odinga
Rwanda: Frank........
Uganda:Kiiza Besgye
 
Mleta mada subiri matusi na maneno kama msaliti

Kutoka mitaa ya pale ufipa
 
It is healthy for the nation, bravo Zitto, congratulations to Chadema for nurturing him......he is our hero, what else?
 
Mleta mada subiri matusi na maneno kama msaliti

Kutoka mitaa ya pale ufipa
Magwanda na zambarau hatuna shida siku hizi.....twazijua siasa.
...shida ipo kwa mkemia....yeye kila kitu anafikiria ni catalyst ( would speed up the rate of chemical reaction )
 
Magwanda na zambarau hatuna shida siku hizi.....twazijua siasa.
...shida ipo kwa mkemia....yeye kila kitu anafikiria ni catalyst ( would speed up the rate of chemical reaction )
Na Mimi nafikiri heating bado iko chini sana , inabidi internal reaction iwe kubwa zaidi kuliko external reaction ,


Rate of reaction ikiwa abnormal ndio akili zitaanza kurudi , hata joto la kwenye furnance la 1500 halitoshi , inabidi lizidi ili tutokote zaidi
 
Bila kuficha hapo wote ni wanafiki tu. Kwa Tz zzk ni mnafiki na muongo na future yake kisiasa ilishakufa. Tz mwanasiasa mpinzani mwenye ushawishi ni 1. Mzee Lowasa 2. Mbowe. Wengine ni wapiga debe tu na hawana wafuasi. Ila namba 1 kabisa alikuwa ni Dr Slaa. Lipumba ni mnafiki na hana mvuto hata akiongea utadhani kameza zege sijui hata wanafunzi wake UDSM walimuelewaje
 
Back
Top Bottom