Siasa za Tz bwana za kitoto sana, zimejaa husuda,wivu,visasi majungu, chuki, uongo, uzushi, dharau, masifa, kashfa, chuki binafsi, ufisadi, UBABE, kukomoana, ubishi usio na tija, ulaghai, ukiritimba, wizi, udictator, maamuzi binafsi katika mambo ya umma, kukurupuka sijui kuhusu uchawi!
Ukienda katika account ya twita utamkuta Zitto anakomaa na Mbowe mfanyabiashara binafsi! Anawaacha kina Mwakyembe walipewa dhamana ya kulisimamia taifa na rasilimali zake wakajinufaisha wenyewe.
Ukienda kwenye kijarida cha jamvi utayakuta hayo hayo badala ya kusimamia na kuiwajibisha serikali inayotafuna kodi zetu unakuwa kibaraka wa chama fulani kukomaa na maisha ya watu binafsi!
Hivi Zitto nikuulize swali, Mbowe ana dhamana gani serikalini?