John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
aiita FISADISTAN The land of the corrupt"Rushwa inavyotembezwa katika uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki inatia simanzi sana. Haingii akilini kwangu kabisa kwamba Mbunge anahongwa ili kuchagua Mgombea fulani. Nchi hii inanuka uvundo. Uvundo wa Ufisadi. Sasa ni sahihi nchi hii kubatizwa jina jipya FISADISTAN 'The Land of The Corrupt'"- Zitto Kabwe
Zitto mwenyewe hatumuamini, anahongeka kirahisi mno
aiita FISADISTAN The land of the corrupt
zitto mwenyewe hatumuamini, anahongeka kirahisi mno
Zitto mwenyewe hatumuamini, anahongeka kirahisi mno
kigeugeuZitto mwenyewe hatumuamini, anahongeka kirahisi mno
Zitto mwenyewe hatumuamini, anahongeka kirahisi mno
swala la rushwa hili ni gumu kuisha manake kama mtoto anayezaliwa anapokelewa na mikono ya rushwa na alupokwepo tumboni alikuwa kwenye nyumba ya rushwa unategemea kweli iishe? hii ni laana kwa hili taifa