B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,058 Mar 29, 2023 #1 Mtu huvuna alichopanda: Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya. Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao. 'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu." Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza nayo? Tujifunzeni Kenya, Sengal na kote kwingine ambako haki vikiwamo ukombozi havifanyiwi ajizi. Watu wanahitaji kupewa hamasa persistently, si kuvunjwa moyo.
Mtu huvuna alichopanda: Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya. Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao. 'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu." Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza nayo? Tujifunzeni Kenya, Sengal na kote kwingine ambako haki vikiwamo ukombozi havifanyiwi ajizi. Watu wanahitaji kupewa hamasa persistently, si kuvunjwa moyo.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,600 Mar 29, 2023 #2 Kuna ujinga na wajinga
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,058 Mar 29, 2023 Thread starter #3 johnthebaptist said: Kuna ujinga na wajinga Click to expand... Ukiwa chawa mawili hayo kwa pamoja lazima yakuhusu 🤣🤣
johnthebaptist said: Kuna ujinga na wajinga Click to expand... Ukiwa chawa mawili hayo kwa pamoja lazima yakuhusu 🤣🤣
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,950 Mar 29, 2023 #4 Lukas Huo ndo ukweli
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,670 Reaction score 126,891 Mar 29, 2023 #5 Zitto ni mtu wa fursa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,058 Mar 29, 2023 Thread starter #6 Bejamini Netanyahu said: Zitto ni mtu wa fursa Click to expand... Wote wa aina yake tusiache kuwapigia kelele kwenye madogo hata makubwa. Mdogo mdogo, tutafika tu.
Bejamini Netanyahu said: Zitto ni mtu wa fursa Click to expand... Wote wa aina yake tusiache kuwapigia kelele kwenye madogo hata makubwa. Mdogo mdogo, tutafika tu.