Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifananisha Kigoma na Dar es Salaam ambayo umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Fanyeni kazi achaneni na wanafiki. Mpango mzima ni Hapa kazi tu! Ukizipata utajua namna utakavyozitumia.
No gains without pains!!
Tabia ya ulanguzi ndio imewatesa sana wakulima wote kwa hiyo hao walanguzi wa korosho imewaangukia adhabu hiyo...biashara lazima ifuate misingi sio ulanguzi na ulaghai !mm nadhani nia nzuri ya serikali imeharibiwa na approach mbaya ya serikal yenyw,kwann utaifishe korosho ya mtu eti kisa hana shamba,vp Kama aliinunua kabla ya uamzi wa serikali wa kuinunua korosho??kama mtu hana shamba ila ana korosho kwann umzuie kwenda kutafta soko nje ili ww ununue hiyo ulooneshwa mashamba???
Biashara yyte lazima kuweka na mlanguzi/mtu wa katiTabia ya ulanguzi ndio imewatesa sana wakulima wote kwa hiyo hao walanguzi wa korosho imewaangukia adhabu hiyo...biashara lazima ifuate misingi sio ulanguzi na ulaghai !
Nitajie jimbo moja tu hapa Tanzania linaloongozwa na mbunge wa ccm ambalo wananchi wake ni matajiri kuliko wale wa jimbo la Kigoma mjini analoongoza Zitto....Umaskini wao kigoma ni wa kimaamuzi yaani kuchagua wawakikishi fake kama zzk,
Zitto anajua kabisa kigoma inahitaji mambo mengi ya marndeleo, lakini yeye hayapeleki bungeni anabaki kubishana na utawala all time.
Vipi mmeshamwandalia watu wasiojulikana?Ndicho mlichobakiza wewe na wafuasi wenzio wa Zitto washamba nyie kama mikunduu yenu.
Na huyo mshamba asubiri 2020 ndio mwisho wake.
Siasa za twitani. Watu 10000 ndio wanapata ujumbe kati ya watu mil 40.Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi.
Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake.
Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
Povu za namna hii zinajibuje hoja zake?Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi.
Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake.
Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
Anatafuta umaarufu kwa udi na uvumba.Huyu jamaa nilishampuuza toka siku aliposaliti wenzake Chadema enzi hizo. Na mpaka leo dhambi ya usaliti inamwandama ana saliti nchi kwa sasa. Huyu jamaa bwege sanaa
Siyo mtulie ninyi wachemsha dawa na waonja dawa ili kupima ukali wake? Mmeishiwa hadi mnapora waziwazi!Tulieni dawa iwaingieni nyie
Hivi mtu akikuelekeza njia anatafuta umaarufu? Zitto kawachoma moyo na kuwafumbua macho wadhulumiwa wakadai haki yao na ccm ninyi mmeona kuwa mnakwenda kuumbuka mnaanza kumpaka Zitto! Mnaogopa nini ilihali mpo kwenye raiti traki?Anatafuta umaarufu kwa udi na uvumba.
Huyu sisi makamanda tulikuwa tunamuita msaliti alipofurumushwa toka chadema juzi juzi tu.Hivi mtu akikuelekeza njia anatafuta umaarufu? Zitto kawachoma moyo na kuwafumbua macho wadhulumiwa wakadai haki yao na ccm ninyi mmeona kuwa mnakwenda kuumbuka mnaanza kumpaka Zitto! Mnaogopa nini ilihali mpo kwenye raiti traki?
Sijawahi ona watu wanafiki kama watu wanaotokea KIGOMA
Acheni siasa za kipuuzi nyie ufipa yaani furaha yenu ni kuona Rais akitukwanwa au kudhihakiwa...Nimeamini Wewe kweli ni Theorygonoria.
Acheni siasa za kipuuzi nyie ufipa yaani furaha yenu ni kuona Rais akitukwanwa au kudhihakiwa...
Pumbavu zenu...
MLIGO ZITTO ALISHAKUWA MAARUFU TOKA ISSUE YA BUZWAGI ZAMA ZA KARAMAGI.Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi.