ina maana hujui lolote kuhusu mfuko wa dharura au unajitoa akili tu?Huwezi kumwelewa zitto maana umande ulikutesa sana kipindi icho na kwa kupewa elimu kidogo tu bajeti inayotumika sasa ni ya 17/18 So hakukua na hili swala la ununuzi wa korosho kwa iyo ili liwekwe sawa serikali inatakiwa kwenda kuomba bungeni hizo pesa bil600
Kaona hatapata cha kuweka mfukoni mwake.. Zitto ni mvizia bahasha za khaki.. huwa ana lingine anapopiga domo lake kila kona
Zitto yupo sahihi. Hela ya Serikali lazima ifuate utaratibu wake. Kufuata utaratibu kunamhusu kila Mtanzania awe raia kapuku au Rais wa nchiView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Bil 600 inatolewa wapi ili kununua korosho? Usishupaze shingo cococho,kuwa flexible wakati mwingine
Tamko haijawahi kutengeneza budget. Wapeleke Bungeni kuomba idhini ili wanunue korosho. Pia waeleze wataiuza vipiSerikali ilishatoa tamko bungeni on how to end huo mgogoro na bunge likaipokea taarifa ya PM...huu sio muda wa blah blah ni vitendo tu
Kichwa chako umekipa kazi ya bure kubeba minywele na si akiliView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Hiyo akili hanaUmeshindwa kucopy na kupaste hotuba ya bashe . Una mawazo mfu sana wewe
Yaaani wewe ndo kichwa huko chamani ccm??[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Kakuchanganya wapi!?View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Huna cha kutumia ili umwelewe Tundu LissuSiyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!