Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
Mlozi wa Ujiji Uwaga Ni KigeugeuView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Bunge halina kitu siku hizi!bora huo mhimili ufutwe rasmi katika katibaView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Pesa ya wavuja jasho inarudi kwa wakulima (ambao ndio wavuja jasho wa ukweli)Serikali inafanya biashara siku hizi?? Pesa za wavuja jashoo zinaenda kufukiwa!
Usirudie tena kuwaamin wanasiasa amin majina yao tu bas nenda zako
Kwani serikali inanunua kwa pesa za nani kama sio kodi zetu??View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Unataka 1.5T nyingine zikose maelezo?Serikali ilishatoa tamko bungeni on how to end huo mgogoro na bunge likaipokea taarifa ya PM...huu sio muda wa blah blah ni vitendo tu
Unataka maelezo gani zaidi ...wewe ni mkulima wa korosho?Unataka 1.5T nyingine zikose maelezo?
Mkuu Mubby777, upinzani wa Nchi hii ni bure kabisa. Huyu Zitto kuna wakati alikuwa anaonekana angalau, lakini tangu aanze kuongoza Chama chake kupitia smartphone amekuwa bure kabisa.View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
We waajabu sana....Nakwambia ni Pasua kichwa genge hili. Sometimes nafika pahala namshukuru na Mungu kwa kutonifanya kuwa mpinzani.
Hovyo kwelkwel
Unataka maelezo gani zaidi ...wewe ni mkulima wa korosho?
Suala ni mfumo wa ununuajiView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
hapana acha kuunga mkono ujinga wa Zitto,hili ni jambo la dharura sasa huo mswaada hadi uje upite si korosho zitakuwa zimeshaooza?acheni ujinga bana.Mnataka wakulima waumie hadi lini,yeye Zitto ni kabaila ,bepari na bwanyenye ndio maana hajui shida za wakulima wa korosho ambao hutegemea korosho kwa kuendesha maisha yao,au alitaka ziuzwe kwa TZS 1000 kwa kilo?tatizo li wapi kama serikali imeamua kununua korosho moja kwa moja.Halafu hawa hawa akina Zitto hujifanya kuwatetea wakulima ,je huko ndio kuwatetea?utawala wa sheria kwenye korosho sio huko kwingine mbona hatusikii huo utawala wa sheriaHuwezi kumwelewa zitto maana umande ulikutesa sana kipindi icho na kwa kupewa elimu kidogo tu bajeti inayotumika sasa ni ya 17/18 So hakukua na hili swala la ununuzi wa korosho kwa iyo ili liwekwe sawa serikali inatakiwa kwenda kuomba bungeni hizo pesa bil600
You have till monday my friend ...ha ha ha
Ungeandika tu kwa kiswahili. Au unaunga mkono juhudi za kutokujua kiingereza?You have till monday my friend ...ha ha ha
Amachosema zito,ni kuwa,serikali inunue kwa kufiata taratibu,siyo utadhani fedha ni za kitoa mfukoni mwakeView attachment 928869