Kama ananunua kwa nia njema hakuna tatizo, anachosema Zitto apeleke mswaada wa marekebisho ya sheria ndiyo maana ya utawala wa sheriaView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Nakwambia ni Pasua kichwa genge hili. Sometimes nafika pahala namshukuru na Mungu kwa kutonifanya kuwa mpinzani.View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Maoni haya yananikumbusha Maneno ya Mbunge wa zamani wa Tabora mjini Aden Rage. "MBUMBUMBU FC". Yaani umeshindwa kuelewa maana rahisi kabisa ya Zitto wakati ni wazi hakuna sheria inayoruhusu serikali kufanya biashara ya moja kwa moja kwa sasa kwa sababu ilishafutwa? Au ulitaka atweet kwa maneno 1000 ndo uelewe?Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Acheni ujinga kama sheria inaagiza hivyo fuateniView attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Jaribu kuelewa jambo kwanza kabla ya kutoa maoniSiyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Mkuu, si ndio utaratibu ulivyo? Basi ingekuwa serikali haisimamiwi na bunge, sasa si ingekuwa inajiamulia kununua chohote tu, hata watu wangenunuliwa? Kwani hujasikia manunuzi ya ndege yalivyopigiwa kelele kuwa hayakufuata utaratibu?Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungeni. Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Serikali ilishatoa tamko bungeni on how to end huo mgogoro na bunge likaipokea taarifa ya PM...huu sio muda wa blah blah ni vitendo tuMkuu, si ndio utaratibu ulivyo? Basi ingekuwa serikali haisimamiwi na bunge, sasa si ingekuwa inajiamulia kununua chohote tu, hata watu wangenunuliwa? Kwani hujasikia manunuzi ya ndege yalivyopigiwa kelele kuwa hayakufuata utaratibu?