Mwenye uwezo wa kunisaidia hili tafadhali, nimedownload movie lakini ili kuifungua inanilazimu niwe na password na wametoa na link ambayo kupitia hiyo nitapata password lakini kila ninapojaribu kufuata maelekezo bado nashindwa kupata hilo neon la siri.
Nenda kwenye sehem uliyodownloadia movie cheki comments za watu kuhusu hio password,,, by the way movie nyingi huwa tunadownload kirahisi kupitia www.kat.ph
Nenda kwenye sehem uliyodownloadia movie cheki comments za watu kuhusu hio password,,, by the way movie nyingi huwa tunadownload kirahisi kupitia www.kat.ph