Zinauzwa, weka order yako mapema

Mkuu hii kitu ya kupaa juu ni kwa kanchi nyingeni siyo hapa bongo maana watakufatilia utosi hadi dole gumba na utajuta kuzaliwa kwa matusi ufitina uhasidi na kila aina ya kejeli na magazeti kupata soko zuri tu tena kosa kubwa kwa mtu mwenye ngozi nyeupe kwa sababu yeye ana damu ya kunguni kwa nchi hii tuu na ndio maana bado tuko nyuma huku tunane bado mbechi na hii nusu karne
 
Nina mpango wa kukamiliki ila nahisi nitajimwa sehemu ya kutua na kukalaza...,ooh mai kantriiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…