Wanaotetea serikali hii na wale wenye maslahi. Haiwezekani wanatuficha na propaganda za slaa kumiliki kadi huku hawatuelezi wamiliki wa dowans, wenye akaunt uswis wala waliosafirisha wanyama hai. Huu ni ujinga sidhani kama nape hawezi kutuambia ukweli juu ya haya.