Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,113
- 63,405
Lamkosaji bwana........
Nabado hii ndio awamu ya TANO.
Simlisema tutashatkiwa MIGA.
Pambana Magu acha wajinga wa upinzani waendeleee kutafuta kasoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio maana ili tusishtakiwe tumesamehe trilion 400+ pamoja na kishika uchumba biliob 600!Shame
Lini mtafungua kesi MIGA?Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.
Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.
Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.
Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.
Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.
Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.
Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.
Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.
Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
Usitegemee wakupe jibu la maana zaidi y blah blah tu za hapa na paleTuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.
Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.
Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.
Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.
Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.
Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.
Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.
Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.
Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
unachosema ni kweli, naona wanaleta blah blah za MiGA.Usitegemee wakuoe jibu la maana zaidi y blah blah tu za hapa na pale
Tena tukawapa na vyeti vya utumishi uliotukuka maprofessa wetu hawa,kiukweli bila mshipa wa aibu kukatika ni ngumu kuwa mwanaccmTuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.
Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa Tanzania zilitangaza namna tulivyokuwa tukiibiwa madini kwa miaka yote kampuni ya ACACIA ilipokuwa ikioperate nchini.
Ripoti zikasema kuhusu madini tuliyoibiwa ndani ya makinikia ni mengi mno na yakathaminishwa kwa thamani ya dola bilion 190 ambayo ni taktiban shilingi Trillion 425 hivi.
Hizi pesa ni nyingi mno, ni Bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 10.
Leo hii tumesaini mkataba, hizi pesa hatutarudishiwa hata senti. Yaani siyo Barrick wala ACACIA (Iliyouzwa kwa Barrick) tuliyoweza kuishika mashati itulipe fedha hizi.
Tulichokifanya, ndani ya mkataba tumejifunga kuwa tutaondoa madai ya aina hii katika ushirika mpya tulioingia na hawa Barrick.
Cha kujiuliza ni kwamba, kama hawa watu wametuibia, na ushahidi wa kutuibia upo kabisa na ni wa kisomi, Kwa nini tusingewang'ang'ania hata mahakamani watulipe pesa zetu?.
Haitoshi kutwambia kuwa tutapata economic benefi, hizo economic benefit haziwezi kulingana na Shilingi TRILION 425 pesa za wananchi.
Serikali itoe majibu, hivi kwa umakini wa aina gani leo hii unaweza kwenda kusamehe TRILION 425?
ungejua kiini cha huo mkataba wala usingehoji ujinga,wewe subiri tu aje atokee mwendawazimu aseme ukweli wa kilichokuwa kwenye mazungumzo,mtakuja kumkumbuka lissu