Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Jembe??? mjini?? u must be kidding meeen!!
Wakuu hizo hapo chini ni baadhi ya sifa za wife material kwa uchache wengine wanaweza ongezea.
1. WIFE MATERIAL yuko home amelala, sio club anashikiliwa.
2. Wife material anamuuliza mamayako home anaendeleaje, si kuuliza bouncer wa Billz namchukia.
3. Wife material anajua kupika co kula burger na juice
4. Wife material anakula buyu kama hauna pesa, sio kuita galfriends wake wale nyama choma na Guinness on yua bill.
5. wife material ni kuwa natural co kupaka makeup kilo kumi hadi unakaa kama fisi kanywa damu.
6. Wife material lazima ajue kushika jembe, sio kuita2
Wakuuu wengine waongezee kama zipo zaidi ya hizo
Tutalima lami mwaka huu ili tuwe wife material
Tutalima lami mwaka huu ili tuwe wife material
7.......Wife material DOESNT take bullshit about anything, sio kwa kuwa umemuahidi kumuoa ndo akupakulie vyoooooote
8......Wife material is NOT CHEAP, ukichemka anakupa options hakung'ang'anii for no reasons
9.......Wife material hatishwi na ahadi yako ya ndoa, ukicheat anasepa.
Nitumie namba yako ya sim nikutumie hata vocha ya mia tano,hakyamama,,mkuu,nimecheka sana5. wife material ni kuwa natural co kupaka makeup kilo kumi hadi unakaa kama fisi kanywa damu.
Tutalima lami mwaka huu ili tuwe wife material