Wakuu habari, Baada ya kuandika uzi unaohusiana na aina za cctv camera pamoja na kazi zake
Zijue aina za CCTV-Camera na kazi zake
watu wengi walitaka kujua gharama za kuweka hiz camera. Sasa katika uzi huu nataka tufahamishane gharama ndogo kabsa za kuweza kuinstall cctv nyumbani , kiwandani, dukani ama ofisini kwako..
1 power supply kwa ajiri ya kupeleka umeme kwenye vifaa vya cctv hii inaanzia 80,000 na kuendelea
2 UPS kwa ajiri ya kutunza umeme endapo utakatika hii inaanzia 120,000 na kuendelea.
3 HDMI @25,000
4 VGA @10,000
5 square box @4,000
6 angle @4,000
7 BNC connector @3,000
8 Power connector @1,500
9 Hard Disk 500GB 70,000
10 Monitor 150,000
11 Extension @ 20,000
12 Multpulag @4000
13 Screw & Fishers @ 4000
14 HD camera @ 80,000
15 DVR Yenye Chanel8 Tsh360,000 (Hii hutegemeana na idadi ya camera kwa bei hii inapokea camera 8)
16 Coaxial cable 100M @100,000
NB kwa bei za vifaa ambavyo vimewekewa @ inamaana vinaweza hitajika zaidi ya kimoja. Hii hutegemeana na ukubwa wa project huska.